Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

mtahengerwa

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
384
173
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alikataa kujiuzulu uwaziri ili aendelee kuuza nyumba za serikali. Juhudi za maksudi kulihujumu taifa.
 
nashinwa kuelewa ni kwanin watu wanaoi shabikia ccm ni watu wa kipato cha chini kabisa..na ambao wana elimu ndogo na maisha yao ni magumu kweli kweli and yet hayabadiliki na bado hawaiachi ccm
Wanakuwa brainwashed mkuu. Wamepigwa ganzi ya ubongo.
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera yao wamejitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana mdogo ni jinga sana...Nina nyumba yangu moja Tarafa ya Themi alipo huyu bwana mdogo
N Katibu Tarafa mnafiki sana anayeamini maisha yake atafanikiwa kwa kujipendekeza kwa wanasiasa.Ananzisha hizi nyuzi humu kwa kuwasifia RC,DC,DED na DAS ili wamkumbuke kwenye vyeo vya kisiasa hapo Arusha.

Hivi we bwana mdogo utaacha lini kujipendekeza kwa kina Mrisho Gambo?kutwa unapeleka maneno ya uchonganishi kwa DC na DED kuwachongea maafisa Tarafa wenzako ili upate sifa.Hapa unaanzisha uzi halafu unatuma kwenye magroup ya WhatsApp kujisifia kuwa umeimaliza CHADEMA Arusha kwa kuichafua mtandaoni.

Hivi wewe kama Afisa Tarafa sheria inakuruhusu kujihusisha na siasa za kuchonganisha vyama viwili ndani ya tarafa yako?halafu hichi cheo cha Ukatibu tarafa ni aibu sana

Hiyo kazi yenyewe uliipata sababu ndugu yako Tizeba...Acha unafiki na kujipemdekeza
 
Back
Top Bottom