Recent content by sam2015

  1. sam2015

    Mwanasheria TAKUKURU Makete Frednand Nsakuzi ashinda kesi CMA

    OP Mkapa hapa Ruvu JKT then Mafinga masele wananijua "buyoya" Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sam2015

    Mwanasheria TAKUKURU Makete Frednand Nsakuzi ashinda kesi CMA

    Baba mi sina ubishi we kweli ni OP MKAPA kuns jembe langu umelitaja hapo Kimondo huyo jamaa namfahamu ni CDO ila dah maisha acha yaende. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sam2015

    Ujumbe kwenu Zantel:- Ahsante kwa kushiriki lakini nawaaga rasmi, narudi TTCL. Nilishawonya!!

    https://www.Instagram's.com/p/B3OiUBLnSeP/?igshid=1gldawmpc3nfew y6 ⅞ i have a few questions and 6
  4. sam2015

    Kwa nini kadi za bank zina expire date na za simu(sim card) hazina?

    Ngoja waje Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sam2015

    Shule 20 maarufu Kilimanjaro miaka ya 1980 mpaka 1995

    Hiyo naikumbuka Mkuu na tulimteka mlinzi getin pale Lyamungo tukaondoka nae
  6. sam2015

    Shule 20 maarufu Kilimanjaro miaka ya 1980 mpaka 1995

    Acha kabisa hao wanaojita Moshi Tech tulishacheza mechi ya mpira wa miguu , mechi ikavunjika tukawalaza saa12 pale KB ilikuwa kambi ya jeshi
  7. sam2015

    Mwalimu Mkuu abainika kubaka wanafunzi wake huko Wilayani Kisarawe

    Sa si angechagua kamoja tu kazuri akawa anatafuna taratibutaratinu na yeye umero ndo umemponza
  8. sam2015

    Rais Magufuli piga marufuku Dodoma kurudia majina ya Dar

    Hakuna mkoa ambao hawajatumia majina ya DAR ...Dar itaendelea kutamia kila mkoa Tanzania, hata CHATO kuna vitongoji vinatumia majina ya DAR
  9. sam2015

    Bakhresa group punguzeni udini

    Ukitoswa na BAKHARESA nenda kwa MENGI
  10. sam2015

    NATAFUTA ANAETENGENEZA MAUA YA SHANGA

    Wadau natafuta anaetengeneza maua ya shanga kwa ajili ya kutengeneza viatu vya kimasai; 1.Yawe shanga Original 2.Uwe na uwezo wa kubadika kulingana na hitajio 3.Bei ni Tsh.3,000/=kwa pea moja 4.Awe na uwezo usiopungua pea 50 kwa wiki
  11. sam2015

    Ofisa Operation TPA afukuzwa kazi baada ya kukutwa akimuinamisha mdada ofisini!

    Tyming yake haikua nzuri mbona vibarua unagegeda tena asubh unawahi mapema na wakati wa kutoka unajifanya upo bize kumbe unasubiria mgegedo
  12. sam2015

    Tabia ya kuaga maiti ni ya hatari sana

    Waislam hawaagi Maiti (Marehemu) kinachofanyika ni kutoa utambulisho wandugu au watoto wa marehemu endapo wakati wa tukio la mauti hawajakuwepo kinachofanyika ni yule mtu wa karibu aliyekuwepo wakati umati unamfika kuwaeleza ndugu/watoto wa marehe kwamba huyo ndiye baba yenu au ndugu yenu tena...
  13. sam2015

    Tupeane uzoefu kwa waliofukuzwa makazini(jobless)

    Pole mkuu ila sahau yaliyopita fanya kama hujawahi kuajiriwa zen songa mbele wengi yalitukuta hayo mimi nilisimamishwa kazi mwaka 2014 nikajikita kwenye biashara nashukuru MUNGU kiasi nimefanikiwa na mimi naitwa BOSS kwan katika biashara zangu nimeajiri watu 5 wanaotegemea kuendesha familia zao...
Back
Top Bottom