Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,346
- 185,315
Pole yake kibarua kimeota nyasi..
mapema wiki iliyopita Mkuu wa Shule hiyo alimuita mwanafunzi mwenye imani ya kiislamu nyumbani kwake,
Mkuu wa Shule ya Sekondari MASAKI Wilayani Kisarawe Hillary Bwagidy anabaka wanafunzi wa kike kidato cha Nne waliopo kwenye Kambi ya masomo Shuleni hapo, Imebainika
Hillary Bwagidy headmaster wa Shule ya Masaki Sekondari amekuwa akilalamikiwa na wanafunzi wa kike waliopo kwenye Kambi ya masomo kwamba amekuwa akiwaita mmoja mmoja nyumbani kwake nyakati za usiku na kuwalazimisha kuingia chumbani na kuwavua Nguo Kwa lazima na kutimiza haja Zake , wanafunzi kadhaa tayari amefanikiwa kuwabaka na hutoa vitisho vikali.
Ama kweli Siku za mwizi ni arobaini, mapema wiki iliyopita Mkuu wa Shule hiyo alimuita mwanafunzi mwenye imani ya kiislamu nyumbani kwake, akamwamuru Aingie sebuleni, baadae akamwamuru Aingie chumbani na avue Nguo zote amtengenezee Dawa kwakuwa amekuwa akipatwa na homa Mara Kwa Mara, msichana huyo aligoma kutekekeleza matakwa ya Headmaster, alilazimisha bila mafanikio na kumwamuru atoke ila asithubutu kusema.
Mwanafunzi huyo hakuvumilia yaliyomkuta akaenda kuwasimulia wenzake. Wanafunzi wote wa kidato cha nne wakaanzisha mgomo wa kuingia darasani hadi hapo Afisa Elimu wa Wilaya ya kisarawe alipoitwa kusuluhisha Mgogoro huo. Juhudi za Afisa Elimu wilaya haikusaidia Kitu, Headmaster huyo aliendelea kuwatishia wanafunzi na kuwapa adhabu Kali. Leo jumatatu Aprily 30 , 2018 wanafunzi wote wa kidato cha nne wameandamana kwenda ofisi ya kata wakitaka kuonana na Mkuu wa Wilaya ya kisarawe kueleza kero zao wanazopata toka Kwa Headmaster huyo na wako tayari kufika kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli.

Licha ya uzuri Wa hivi vitoto vya siku hizi vilivyo vizuri ila hapo alibugi.
Pole yake.