Recent content by SAM MOLE

  1. S

    JamiiForums Tanzania ICT vs water supply Engineering vs Agriculture

    Hello wanajukwaa. Naombeni ushauri wenu kulingana na uzoefu wenu wataalamu. Nina mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne mwaka jana, amepangiwa Kozi ya ICT chuo Cha Taifa Cha usafirshaji. Mimi nilitamani sana asomee mambo ya maji hasa kozi ya Water supply engineering au pump mechanic engineering...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

    Inawezekana. Ni kipato chako tu na calculation. Unataki nini maisha I mwako?? Ukiwà na courage , desire burning inside utaweza kusoma.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

    Nashukuruni sana Sana kwà maelezo mazuri. Nimepata mwanga. Hata hivyo nimesharipoti na swala langu nimehakikishiwa kwamba Recategorization kwà swala linawzekana.Nitarudi kuleta mrejesho nikifanikiwa. Asanteni Sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

    Ndio. Nina mkakati wa muda mrefu na diploma
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

    Habari za muda huu wadau wa JamiiForums. Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira. Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari. Niliomba ajira hii baada...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Aisee, VP naomba unitext inbox
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mimi mwalimu wa mathematics, naombeni kazi ya kufundisha.

    Mimi mwalimu wa mathematics, naombeni kazi ya kufundisha. Am the bachelor degree.Nitafanya kazi popote.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    I think Lucifer was the first.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha Kombora na inadaiwa kuwa limetua katika Sayari

    sio mbaya kwa wao kufanya majaribio yao ili mradi wasiwadhuru wengine. Kwani marekani ni kitu gani kuitawala dunia?? Marekani wenyewe wezi tu. Mzee wa kiduku fanya yako.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

    nchi ya kusadikika hii wakuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    s0977/0200/2010 nichekie mkuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye nahodha wa mikakati ya wizi Serikalini

    maneno yako, freedom is next
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Samia akizomewa Mwanza, Kinana ahutubia Magari Kigoma

    pipooooz
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mliohitaji Kubadili Programme Chuoni Mlifanikiwa?

    utateseka mbaya, semester nzima huoni boom
Back
Top Bottom