Recent content by Sam Linyata

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kwa sababu za kitaalam; Ipi nyumba bora kati ya tofali za kuchoma na cement?

    Hapa Tz nimeona sehem flani pale MOROCCO kwenye Majengo ya NHC, kuna Majengo mawili ya kule nyuma nimeona
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kwa sababu za kitaalam; Ipi nyumba bora kati ya tofali za kuchoma na cement?

    Na pia tunatakiwa tujuwe hiyo tofari ya kuchoma iko kwenye kiwango gani maana me nishawahi kuona tofari inashuswa kwenye tipa kwa kumiminwa na hakuna inayovunjika
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kwa sababu za kitaalam; Ipi nyumba bora kati ya tofali za kuchoma na cement?

    Point yako ya msingi ni ipi hasa, me nasema tofari za kuchoma ni Imara, tht why nikakutolea na mfano wake wa kuwa Imara
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kwa sababu za kitaalam; Ipi nyumba bora kati ya tofali za kuchoma na cement?

    Matofari ya kuchoma ni Imara zaidi kuliko ya cement, hata ikitokea nyumba imeungua moto, nyumbani tofari za cement itakuwa haifai tena kwa asilimia kubwa hasa kama imeungua kwenye kuta,wakati za kuchoma inakuwa ndo zimeimarishwa zaidi na ule moto...
  5. S

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Safari ya Makonda New York, Marekani iliyohojiwa na Musukuma na Mlinga bungeni

    Tena hata ukiwa na hela zako huruhusiwe kwenda tu,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi yumo humu JF....

    Hayo majungu tu waulize watu wa Arusha waliosoma nae yuko vizur tu mbona
  7. S

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Me naona wadeal na HR na Manager wa hiyo Company na Siyo Manji , mbona kule mtwara kwa Dangote hawajamuita Dangote mwenyew.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

    Kwani hujasikia alichosema mzee juzi ama
  9. S

    JamiiForums Tanzania Huu mwezi ukipita bila ajira za walimu kutangazwa nitaamini kwamba mawaziri husika wameshindwa

    Hata kwenye swala la mikopo ya chuo ilikuwa hivyo hivyo, mwaka 2014 - 2015 asilimia kubwa wamepata , lakin 2016 - 2017 hakuna kitu , kama cyo siasa ni nn sasa.....?
Back
Top Bottom