Recent content by SAM BILGATE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Crdb bank update - july 2014,

    CRDB hawana zonal Offices ndgu yangu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Crdb bank update - july 2014,

    Kweli wanachukua GPA Upper Second,,ila safari hii wamechukua kuanzia 3.6 mpaka 4.0 kamili,,,waliokuwa na GPA zaidi ya 4 hawakuchukuliwa na chini ya 3.6 pia.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili CHADEMA watu wa Mungu waipongeze

    kwa wananchi kama watanzania ni vigumu sana kulitambua hilo,,,wengi wanatazama lakin hawaoni,,wanasikiliza lakin hawasikii,,sijui tumelogwa na nani???
  4. S

    JamiiForums Tanzania Crdb bank update - july 2014,

    Hi..., we got your name from MUCCBS provided by L.N.Ngailo, please forward to me your application letter bank officer position, cv, copies of certificates - university cert, univ transcript, form six and form four cert as well as other copies of certificates, my email address...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jimbo la Bahi afikishwa kwa Katibu wa Bunge

    Anaelitaka hili Jimbo ni mimi hapa ila sio kwa tiketi ya CCM!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu kwa Graduates wa 2013

    Hivi kumbe unaweza kusoma postgraduate ya Ualimu? Miaka 2 tena? Mmmmmmm!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Mkuu mapie hebu nifowadie hiyo msg na mimi; emanuelsam78@gmail.com
  8. S

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank

    Wakuu Mbona hamtupendi Wachagga jameni? Mara CRDB ya wachaga,,mara CHADEMA ya Wachagga na bla bla kibao,,,,,acheni unafiki,, kama wachaga tunajitahidi kupiga shule ina maana hatuna haki ya kupata hizo nafasi?? Na kuna ushahidi gani wowote kwamba wanaofanya kazi CRDB ni Wachagga watupu au 7babu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu shahada haya hapa

    simu yangu haifungui hiyo attached file
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Water Aids

    Job opportunities at WaterAid Tanzania 03.14.2014· Posted in General Jobs WaterAid is an international NGO dedicated exclusively to the provision of safe water, sanitation and hygiene promotion to some of the world's poorest people. We currently have a number of exciting opportunities to work in...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nokia e71 inauzwa

    Imetengenezwa mwaka gani?? na imetumika muda gani??,,,weka mawasiliano yako na bei kama ikiwezekana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Tuwekeeni basi hizo post jamani na sisi tuombe huwezi jua bahati inajia wapi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Tuwe na subira kidogo,,ila mimi mwenyewee nimetumiwa msg asubuhi na MWESIGA PIUS akinitaka nimtumie hela na nimeangalia no. Kwenye Mpesa ni ya Mwesiga,,,sasa sielewi kama ni Hacking au huyu jamaa ni mfanyakazi wao,,,ila tuwe makini jamani watu wamekuwa maptapeli
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kinga dhidi ya upara

    Usikosoe uumbaji wa Mungu,,unahisi kuna madhara gani ukiwa na kipara kwa umri mdogo? Nijuavyo mimi kipara na symbol mojawapo ya dalili za kuwa na mpunga,,sasa unakataa hiyo heshima??
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na huu Utapeli

    Wana jamvi habarini za mihangaiko ya kila siku! Napenda kuwatahadharisha wale waliofanya aptitude test ya Mwanza Community Bank (MCB) kwa ajili ya kupata watu 20 watakaoenda kupata training, hawa jamaa ni MATAPELI na nikiwa kama mmojawapo wa waliofanya ile test, nimetumiwa msg leo asubuhi...
Back
Top Bottom