Kwa hili CHADEMA watu wa Mungu waipongeze

Kwa hili CHADEMA watu wa Mungu waipongeze

Nicolas J Clinton Gabone

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
897
Reaction score
559
Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatakiwa kupongezwa na watu wa Mungu na wenye wanajua maisha ya raia wetu katika nchi hii.

Ni chama pekee cha upinzani ambacho kimefanya uchaguzi wake kuanzia ngazi ya msingi hakuna chama chochote kimewai kufanya hivyo ila ni CHADEMA peke yake na kama kuna chama kingine barani Afrika weka nondo zako, vyama vingi pinzani ushinda mijini ila chama hiki kinafanya uchaguzi wake kama chama kinacho tawala siyo CCM hata vyama vingi tawala duniani, naamini Congoress yake itakuwa ya kipekee sana nchini.

Pia ni chama pekee chenye magari yake nchi nzima kila kanda na pikipika zake nchi nzima hakuna chama cha hivyo Tanzania hata CCM hawana ila wanapora ya serikali, kweli hapa chama kimeweza tuwapongeze kwa juhudi zao "ongera CHADEMA kwa kuonyesha nyie siyo mbadala wa CCM bali ni chaguo la Watanzania wengi".
 
Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatakiwa kupongezwa na watu wa Mungu na wenye wanajua maisha ya raia wetu katika nchi hii. Ni chama pekee cha upinzani ambacho kimefanya uchaguzi wake kuanzia ngazi ya msingi hakuna chama chochote kimewai kufanya hivyo ila ni CHADEMA peke yake na kama kuna chama kingine barani Afrika weka nondo zako, vyama vingi pinzani ushinda mijini ila chama hiki kinafanya uchaguzi wake kama chama kinacho tawala siyo CCM hata vyama vingi tawala duniani, naamini Congoress yake itakuwa ya kipekee sana nchini. Pia ni chama pekee chenye magari yake nchi nzima kila kanda na pikipika zake nchi nzima hakuna chama cha hivyo Tanzania hata CCM hawana ila wanapora ya serikali, kweli hapa chama kimeweza tuwapongeze kwa juhudi zao "ongera CHADEMA kwa kuonyesha nyie siyo mbadala wa CCM bali ni chaguo la Watanzania wengi"

Kweli kabisa! Kuna siku nilisema kuwa chama mathubuti Tanzania ni Chadema. Nilitoa sababu kuwa CCM imesimama kwa vile kilikuwa chama dola (chama kushika hatamu) All public resources are at their disposal! Hujuma zote zinaelekezwa kwake na CCM kwa kutumia vyombo vya serikali. Chadema imesimama peke yake kwa nguvu ya wananchi na misaada mingine. Wabishi hawataliona hili!
 
chadema ni chama cha watu wanakula ruzuku ya chama makao makuu,wanaandamana na kupanga kujiteka makao makuu chama ambacho mlimuua chacha wangwe na kumlisha sumu zito kabwe
 
KWA NIABA YA FAMILIA YANGU ILIYOPO KYELA KWA AJILI YA CDM , KATIKA MIPANGO YA KUITOKOMEZA KABISA CCM , NAOMBA NIKUPONGEZE kwa KUUTAMBUA UKUBWA WA CDM KATIKA NCHI HII , ASANTE SANA .
 
Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatakiwa kupongezwa na watu wa Mungu na wenye wanajua maisha ya raia wetu katika nchi hii. Ni chama pekee cha upinzani ambacho kimefanya uchaguzi wake kuanzia ngazi ya msingi hakuna chama chochote kimewai kufanya hivyo ila ni CHADEMA peke yake na kama kuna chama kingine barani Afrika weka nondo zako, vyama vingi pinzani ushinda mijini ila chama hiki kinafanya uchaguzi wake kama chama kinacho tawala siyo CCM hata vyama vingi tawala duniani, naamini Congoress yake itakuwa ya kipekee sana nchini. Pia ni chama pekee chenye magari yake nchi nzima kila kanda na pikipika zake nchi nzima hakuna chama cha hivyo Tanzania hata CCM hawana ila wanapora ya serikali, kweli hapa chama kimeweza tuwapongeze kwa juhudi zao "ongera CHADEMA kwa kuonyesha nyie siyo mbadala wa CCM bali ni chaguo la Watanzania wengi"

ahsante sana kwa taarifa Yericko Nyerere,CHADEMA FOR PRESIDENCY 2015,VIVA CHADEMA
 
kwa wananchi kama watanzania ni vigumu sana kulitambua hilo,,,wengi wanatazama lakin hawaoni,,wanasikiliza lakin hawasikii,,sijui tumelogwa na nani???
 
Mr.nic sina mengi zaidi ya kusema asante mungu kwa kunifanya niwe mwanachama wa chadema.
 
Pro-Chadema bana wanajisifia kuwa wana magari kila mkoa wakati hawana ofisi mikoani, Makao Makuu yenyewe wamepanga ubavu wa vyumba vitatu.
 
chadema ni chama cha watu wanakula ruzuku ya chama makao makuu,wanaandamana na kupanga kujiteka makao makuu chama ambacho mlimuua chacha wangwe na kumlisha sumu zito kabwe

Mmhh! Mkuu nitonye kidogo kuhusu kifo cha Chacha Wangwe na kulishwa simu maana sielewi kabisa ebu tiririka hapa mmaranguoriginal
 
Back
Top Bottom