Crdb bank update - july 2014,

Crdb bank update - july 2014,

Na kwa walioko mikoani application zote mpaka ziende azikiwe,sababu nafahamu zonal office nao hua wanaajili,

manake mi niko kijijini kwa wazee nakusanya nguvu ya kukaa mjini nikiendelea kuapply'

CRDB hawana zonal Offices ndgu yangu
 
kamaliza juzi tu,hata experience hana,anataka kufanya kazi yenye mshahara mkubwa,ngoja ukae mtaani uone kama autatafuta hata kazi isiyo na malipo.

acha umbwiga experience unaipataje bila kufanya kazi.. Hebu fafanua
 
nachojua now wamechukua intern kwanza mpk mwezi wa nane wanaajiri nafanya kazi hpo
mwezi wa nane ndo huo unawadia,kwa kauli yako naanza kujiandaa kwa interview,ili wakiniita nisitende kosa hata moja.
 
mdogo wangu GPA haikupi kazi huku makazini kuna watu wana GPA kubwa lakini hamna kitu, yani perfomance yake ya darasani na ofisini havilingani kabisaaaa
 
mdogo wangu GPA haikupi kazi huku makazini kuna watu wana GPA kubwa lakini hamna kitu, yani perfomance yake ya darasani na ofisini havilingani kabisaaaa
kigezo cha kuita watu kwenye interview ni ufaulu,
baada ya hapo sasa ni kupima utendaji na muonekano,
tusivunjane moyo wadau,mwenye information za kutosha aweke wazi!
 
Back
Top Bottom