Unajisikitisha mwenyewe mm sikuhusu hata kidogo, pia sijakulazimisha kuamini nilichoandika...pambana na hali yako achana na salma maana hakuhusu. Unajifanya mcha mungu huna lolote dhambi unafanya kama kawaida ....kama unadhani nimepotea huo ni mtazamo wako tu maana hata hayo unayoyaamini huna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.