Recent content by Salin alkhaify

  1. S

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Hmmm. Hatar sana hii. Hivi nyinyi vijana wa tz. Mnajuwa nn maana ya siasa. Naona vijana hamjuwi nn maana ya. Ushabiki. Siass sio timu za mpira siasa ni. Mizani ya kupima. Wapi unatakiwa kufata kutokana na sera. Bora leo. Zitto anaongelea. Ndege. Inamaana mh zitto. Anazo habar zote za ndege hizo.
  2. S

    Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

    Kaka. Pasco. Mm. Yote hiyo. Sina sna shida mm tatizo langu hii ndege ni. Kubwa sana. Kwann tustafute B737-800 new. Vasion. Maana. Sisi. Atcl. Sifikirii kama. Tunawez kufanya ushindani na. Ethiopian nasema hayo kwa upande wa biashar au flight route. Tunakwenda wpi na wapi kubeba abiria na...
  3. S

    Magreth Sakaya ametambuliwa na Msajili wa vyama kama Katibu Mkuu wa CUF

    Kule kwetu. Tunawaita wapemba kutu la ng ombe maana. Nje. Gumu ndani lainiii. Kama ujuwi. Waulize wanao mjuwa. Sophia kawawa. Sasa nenda kajitambulishe zanzibar. Jitihada za. Chama. Seif hakuanza leo wala jana. Jamaa. Toka. Sakaya ajazaliwa. Toka yuko. Wazir wa elimu zanzibar. Anapanga safu...
  4. S

    Polepole: Utaratibu utafuatwa kumwajibisha Makonda

    Mh. Poepole. Wewe.umechelewa kuja mjini na. Sio ww.tu wengi na hamkijuwi chama vizur. Miaka ya zaman kidogo. Zanzibar. Kulikuwa na mama inasemekana. Alikuwa mzambia na alikuwa mmoja wa kiongozi mkubwa sana anaitwa kastiko. Alifanywa nn na ccm ?? Kwann mnashindwa sasa. Kwa makonda ??
  5. S

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Hawezi kumtoa. Bashite. Maana yy ndio fitna kubwa. Kamfanyia mwenye kiti. Kinondon. Madabida sababu apewe nafasi yy. Sasa tunasema watoto wa mjini. Jogoo la shamba aliwiki mjini
  6. S

    Kwa mbaali naona suala la Makonda linafunikwa na hili linaloendelea kutokea Dodoma

    Makonda alikuwa anataka nafasi ya madabida. Mae amefanya kazi kubwa. Sana. Kumfitinisha. Kwa magu
  7. S

    Rais Magufuli vs Edward Lowassa katika Kuchukia Ufisadi

    Ufisadi maana yake. Kufanya kitu ambacho wenzako. Kwa utaratibu mlio jiwekea hawajuwi. Je. Kiwanja cha ndege. Chato nani anajuwa pesa zimetoka wapi??
  8. S

    Kwanini wapinzani mnageuza Mahakama kama ulingo wa kisiasa?

    Na ww nawe toka unyimwe. Uongizi. Uvccm unatafuta utoke vip. Upati kitu hapo chama kina wenyewe.
  9. S

    Mbowe, Zitto Kabwe na Lowassa tafuteni cha kufanya its over!

    Ushawahi kuona mtu. Anashangilia. Ujinga. Bas Ndio huu. Niliwahi kusema watu wengi wa tz. Hatujuwi nn maana ya. Kazi ya upinzani. Bunge. Hata ukosowaji wa serikali. Leo. Mulize mtoa mada. Je. Nani. Alimpa habari magu. Kuteuwa. Mkuu wa kitengo cha drugs. Ni. Mpinzan wao walikuwa na vikao. Kila...
  10. S

    Mwakyembe alivyoshindwa vita ya dawa za kulevya

    Ukitazama sana uhalisia wa hii no ya mwanamme masogange. Serikali imekosea. Sana leo kumkamata huyu mdada. Sku hile anarudi toka south Africa alivoachiwa kutokana na hii kesi ilikuwa akamatwe pale airport. Lakin leo mnamkamata kwa lipi. Kumbuka habar iliyokuja toka south walisema hakuwa na...
  11. S

    Bunge limetangaza vita dhidi yetu, wananchi tumelala

    Usituchanganye na ujinga wako. Toka zako. Mshamba weee. Ujuwi kitu tena nafikir hata huo unga unaosemwa ujawahi kuuona. Wacha uvccm kumtetea makonda amekosea. Watu wa. Madili wamempeleka choo cha kike.
  12. S

    Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

    Zaman nakumbuka sana ulikuwa Na uwezi kuwa kada wa ccm bilateral relations kusomeshwa miez sita. Leo hii. Uvccm aanachofikiria madaraka tuu sasa wanaumbuka.
  13. S

    CHADEMA mnarudisha nyuma vita zidi ya madawa ya kulevya!

    Kuna tatizo kubwa sana nchii na kama. Ccm hawajakaa na kulifanyia kazi litaleta balaa baadae. Waswahili wana msemo unasema. Ukicheza na mbwa. Atakufata. Msikitin na uvccm. Washaingia msikitini. Maana nchii inaongozwa na vyama viwili. Ccm na uvccm. Wamekuwa wa roho wa madaraka. Hawana...
Back
Top Bottom