Umasikini wetu ni akili sio mali wala fedha

Jaman Jaman
Teh teh.......ndugu wewe ndiyo think tank wa CCM kijijini kwenu nini? Thread yako imekaa ki-comedy zaidi. Nimeona wadau hapo juu wanadai unatokea Burundi. Kama ndivyo nakushauri mambo ya Tanzania waachie Watanzania
 
Vijana wa CCM hawana akili kabisa. Hata kuandika Kiswahili huwezi? Shituka ndugu CCM imekupa elimu butu sasa hivi inakutumia kama msukule
Zaman nakumbuka sana ulikuwa Na uwezi kuwa kada wa ccm bilateral relations kusomeshwa miez sita. Leo hii. Uvccm aanachofikiria madaraka tuu sasa wanaumbuka.
 
Sory iam out of this country nataka kusahau lugha yangu
Ng'ombe wewe hata kingereza shida!
Sory=Sorry
iam = I am
Eti niko nje ya nchi nataka kusahau lugha yangu!!! Wadanganye wasukuma wenzio waliokuzunguka hapo maswa kijijini wakati mnachunga ng'ombe
 
Amani ya bwana iwe nanyi watu wa jukwaa hili kuna vitu nilikua navisikiaga zaman lakin sikuweza kuamini leo ndo nimeamini

Bora uwe masikin wa fedha na nguo lakin siyo kuwa masikini wa hakili alichokifanya manji na mchungaji gwajima ni umasikin wa hakili wamefanya mtihan lakin hawajafata maelekezo ndo maana wamekoseshwa na hawajasahishwa kabisa

Wakae wakijua hii ni awamu ya tano kwahiyo wasitake kujifanya kwamba wako juu ya sheria
Hakuna aliye juu ya sheria kwa awamu hii ya tano mi nawapa pole sana pole yao

Na kuna uwezekano hata kesho hawata achiwa kwa sababu wamefanya zalau sana sana ya kumupangia mkuu wa mkoa mda wa kuonana naye wakati naye ana ratiba zake

Mtu kavimbeya anakuja na jopo la mawakili utakazan anaakuja kwenye kesi hii sio kesi haya ni mahojiano tu

Mpaka wanyoke ccm mbele kwa mbele
Zalau ndio kosa gani????
Ukae ukijua atakaye kuiponya nafsi yake ataiangamiza!!!
Ndicho anachofanya "kimpumu"
 
Hahaahaa wadau msameheni bure tu. Kumbukeni huyo ni msukule wa fisiem haelewi lolote.
 
Kweli kama thread yako ilivyojieleza wewe ni mbulula. Hivi kama unajua unachoongea huoni kama hata wewe ni maskini wa akili na Mali pia?
Sahau kumlaza manji polisi. Bro umeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kufikiri na ningekuwa ADMN ningekutoa maana humu hakuna vichaaa kama wewe.
Hivi kwa kila kitu lazima uongelee siasa? Unadhani awamu ya tano na Dr magufuli hakuna haki?
Manji kaonyesha ujasiri wa kuelewa na kwenda na mda.

Kumbuka kuwa siku makonda akishitakiwa na manji kila sekunde inayopita ni pesa.
 
Jamaa ulikuwa na toipic kichwa cha habari kizuuuri ila huko ndani umetokota. Kama serikali imekuambia kujifungua ni bure sasa unategemea kweli mama aje na gloves? seriously... hospitali inakosa gloves halafu unasema umaskini wetu ni ukosefu wa akili. sasa huyu mama ulitaka aelewe nini anapoambiwa huduma za afya ni bure? sasa akili kakosa huyu Mama? Acha hizo
 
Back
Top Bottom