Rais Magufuli vs Edward Lowassa katika Kuchukia Ufisadi

Rais Magufuli vs Edward Lowassa katika Kuchukia Ufisadi

We kwenye hizo tuhuma za lowassa evidence uliyoleta ni ipi? Au si mlitengeneza mahakama ya mafisadi kwa sababu ya lowassa, sasa nashangaa kwanini hafungwi? you don't have evidence either, you just brought us empty words, then why should we give you evidence when you provided us with none but empty words?
Before joining Chadema alikuwa Fisadi baada ya kujiunga na Chadema mkambatiza Mabadiliko Lowassa. Nenda kasome ripoti ya kamati ya bunge ya Mwakyembe. Rais Magufuli alishasema hataki kufukua makaburi
 
Vyama vya upinzani vinatakiwa visimamie serikali kwa mambo ya msingi sio kuanza ku challenge mambo hata ambayo serikali ya awamu ya tano inayofanya ambayo ni mazuri. Huyu mdudu Ufisadi upo mpaka kwenye vyama vya upinzani. Leo viongozi wa vyama vya upinzani hawaweki wazi matumizi ya Ruzuku wanayopewa kila mwezi, Kuna baadhi ya viongozi wa upinzani ni mabilionea na wengine walifikia kukaa kwenye nyumba za shirika la nyumba bila kulipa kodi. Najua hatua alizofikia Mhe Rais Magufuli hata nyinyi zimewathiri sana. Hata mie binafsi naota [emoji91] la hali halisi ya uchumi ila najua Rais Magufuli atajenga misingi imara ya uchumi na nidhamu na watoto wangu na vizazi vitakavyokuja vitaishi maisha mazuri.
Aluta Continua
 
Nyie lumumba acheni porojo ,peleken hela tetemeko
 
Na zile 10% za wachina Wa barabara sio ufisadi........?

Huyu Huyu aliyewashindwa wakina Lugumi na IPTL?.....

Wadanganye wasiomjua tu kiufupi nikwambie tu hakuna mtu zao la ccm anayeuchukia ufisadi....

Very very stupid......
Pamoja na majibu ya kijiweni,waweza kushitakiwa na familia ya Baba wa Taifa (asingetoa majibu hayo) kutumia sura yake kwenye avatar yako. Pitia sheria ya mtandao.

Naamini Mods wanalijua hilo!
 
Pamoja na majibu ya kijiweni,waweza kushitakiwa na familia ya Baba wa Taifa (asingetoa majibu hayo) kutumia sura yake kwenye avatar yako. Pitia sheria ya mtandao.

Naamini Mods wanalijua hilo!
Mkamateni kwanza Lugumi na singasinga
 
Na zile 10% za wachina Wa barabara sio ufisadi........?

Huyu Huyu aliyewashindwa wakina Lugumi na IPTL?.....

Wadanganye wasiomjua tu kiufupi nikwambie tu hakuna mtu zao la ccm anayeuchukia ufisadi....

Very very stupid......
Lowasa ni zao la CHADEMA [emoji111]
 
Kweli JPM hana kashfa ya Ufisadi,zile milioni 10 zilikua ni kifuta jasho kwa wabunge wa ccm.
Zile nyumba za serikali sio yeye aliuza na kugawa bure ilikua ni kimvuli chake.
Evidence ya Milioni 10 unayo??
Yule waziri mkuu kabla ya Lowasa alihusikaje kuuza nyumba za Serikali??
 
Nenda kasome ripoti ya kamati ya bunge ya Mwakyembe. Nyinyi wenyewe mlikuwa mkinadi majukwaani (angalia clip ya Lema) kuwa ni fisadi. Alipohamia kwenye chama chenu mkambatiza Mabadiliko Lowassa.
Shame on you
Umeleta hapa huo ushahidi? hilo ndiyo swali langu.
 
Acheni kumfananisha Mhe.Rais Magufuli na vitu vya kijinga B-)
 
Wadau napenda kutoa assessment yangu juu ya nani anaweza kupiga vita ufisadi kati ya Mheshimiwa Rais John Magufuli na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa.

Nikianza kwa Rais Magufuli toka alipokuwa kuwa Waziri katika serikali ya awamu ya tatu alionyesha wazi ni mtu anayechukia ufisadi, yeye ndie aliyesimamia zoezi la magari ya miradi yote ya serikali kusajiliwa DFP ili haya magari yatambulike kama ni ya serikali na yatumike kwa kazi zilizopangiwa. Kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali Mheshimiwa Magufuli hawezi kulaumiwa kwani ulikuwa uamuzi wa uongozi wa serikali ya awamu ya tatu.

Wakati wa serikali ya awamu ya pili Rais Magufuli alianza kwa kuwa waziri wa ardhi na kwa muda alipokuwa waziri wa ardhi alifanya kazi kubwa sana katika kutatua matatizo ya ardhi na alifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa sana, Rais Magufuli alihamishiwa wizara ya uvuvi katika wizara hiyo kama waziri alifanya kazi nzuri mpaka wavuvi waliokuwa wakivua samaki katika pwani ya Tanzania walitiwa mbaroni, uvuvi haramu katika ziwa Victoria ulipungua sana kwani Mheshimiwa Magufuli kuna wakati akiwa kama waziri wa uvuvi yeye mwenyewe alishiriki katika zoezi la doria. Baada ya hapo Mhe. Magufuli alirudishwa kwenye wizara ujenzi ili kusimamia wizara hiyo na alifanya kazi hiyo vizuri sana.

Rekodi inaonyesha Mhe.Magufuli hana doa hata moja inayomhusisha na masuala ya kifisadi kama mnakukumbu wakati wa mkutano wa bunge la bajeti wizara aliyokuwa akisimamia bajeti yake ilikuwa ikiungwa mkono mpaka na vyama vya upinzani na ilikuwa ikipitishwa bila upinzani wowote. Mheshimiwa Magufuli alipoamua kugombea nafasi ya Urais alianza kufanya kampeni zake bila kutoa rushwa na kutokuwa na wapambe na kwa muda wa mwaka mmoja kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonyesha dhamira yake ni jinsi gani anavyouchukia ufisadi.

Mwaka 1995 Edward Lowassa alipoamua kugombea urais alipata kikwazo kutoka kwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere ambaye alipinga vikali kwa Edward Lowassa kuwa mgombea urais kupitia CCM kwasababu alizozijua Mwalimu Nyerere baada ya kupokea taarifa kutoka Idara ya usalama.

Akiwa waziri katika serikali awamu ya tatu Mhe. Edward Lowassa alifanya kazi vizuri kama waziri. Wakati wa serikali ya awamu ya nne Mhe. Lowassa aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu lakini alitumikia ofisi hiyo kwa muda mfupi mpaka aliposhindikizwa na bunge kujiuzulu kwasababu ya kashfa ya Richmond. Edward Lowassa alihusishwa na kashfa nyingine kama ya mktaba mbovu wa jengo la UVCCM.

Baada Edward Lowassa kujiuzulu kama waziri mkuu kutumia utajiri alionao alianza kampeni ya kutafuta nafasi ya kuwa mgombea urais 2015 kwa kuhakikisha anawafadhili wagombea katika uongozi ndani ya CCM ili waje wamuunge mkono katika mkutano mkuu wakati wa mchakato wa mgombea Urais wa 2015 kupitia CCM.

Baada ya jina la Edward Lowassa kuondolewa katika nafasi ya kugombea urais kupitia CCM 2015, aliamua kuhamia Chadema na Edward Lowassa alichaguliwa kuwa mgombea wa Chadema bila taratibu za kidemokrasia kuchukua mkondo wake.

Edward Lowassa anamiliki hisa na makampuni mengi kwa mgongano wa kimaslahi hawezi kuwa jemadari mzuri katika vita dhidi ya ufisadi.
Ufisadi maana yake. Kufanya kitu ambacho wenzako. Kwa utaratibu mlio jiwekea hawajuwi. Je. Kiwanja cha ndege. Chato nani anajuwa pesa zimetoka wapi??
 
Back
Top Bottom