Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Tangu kuundwa kwa chadema miaka 25 iliyopita ,kimekuwa chama cha kutetea wananchi na kupinga maovu yote ya jamii.
Tangu kuzaliwa kwake chadema imekuwa ikiendesha Vita zidi ya madawa ya kulevya na ufisadi.
Vita ya ufisadi ilikoma baada ya chadema kuuzwa kwa Lowasa.
Baada ya hapo kazi ya chadema ikawa ni kutetea ufisadi na mafisadi kwa kwenda mbele!
Vita zidi ya dawa za kulevya ndani ya chadema imekoma tarehe 7/2/2017 mara baada ya Mbowe kutajwa kama mtuhumiwa wa dawa za kulevya.
Tangu juzi kazi ya chadema siyo kupinga dawa za kulevya tena mbali ni kutetea wauza dawa za kulevya kwamba wanaonewa!
Chadema Mungu anawaona na damu ya vijana wanaoteseka na kufa na madawa ya kulevya itawaandama milele.