Recent content by SalimMhina

  1. SalimMhina

    Nauza tecno phantom 3 mpya

    uko wapi ndugu
  2. SalimMhina

    Natakiwa kuwa na nn ili nifanye kama NSA, kusikiliza simu za watu?

    unakumbuka lakini Hayati Amina Chifupa alitaka kusema nn
  3. SalimMhina

    Matumizi ya debit/credit card

    Kutokana maendeleo ya sayansi na teknolojia duniani,matumizi ya kadi za malipo mfano WESTERN UNION,VISA,TEMBO CARD etc matumiz yake yameongezeka hasa kulingana na kupanuka kwa soko la kimataifa. Kwa Watanzania walio wengi hili ni suala geni hasa ukizingatia hata matumiz ya benki tuko bado...
  4. SalimMhina

    Huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi? nifahamisheni tafadhali

    iv hii njia iko salama ndugu kimtandao mtandao?
  5. SalimMhina

    Anaweza/wanaweza kuwa tapeli/matapeli?

    wanataka minimum order not less than 1000$
  6. SalimMhina

    Anaweza/wanaweza kuwa tapeli/matapeli?

    Kampuni/biashara yao iko UK wanajihusisha na uuzaji wa eletronic products. Hii ndio WEBSITE YAO au HII HAPA Facebook anatumia jina la AMANDA EMILY Wanatumia malipo ya credit card hasa western union. Wamenipa streat adreass,email namna ya kupata ofisi zao. Hata ww waweza bonga nae tu...
  7. SalimMhina

    Dunia kubadilika December 23-25

    Ni kama wewe ulivyoamua kutoa leo may 2013 so usishangae atakuja mwingine kama wewe June
  8. SalimMhina

    Dunia kubadilika December 23-25

    Na juu ya Habar ya siku hiyo hakuna aijuaye ila muumba
  9. SalimMhina

    Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

    Wanarudi jamvini ngoja tusubiri
  10. SalimMhina

    Samsung galaxy s3 mini

    400k ni nn?
  11. SalimMhina

    Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

    kiafya tafaa ku do mara ngapi per wiki?
  12. SalimMhina

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    lakini hii inategemea na eneo alilopo na hali ya hewa kwa sasa ni si yakuridhisha saana. Iko poa ila ni long run project.
  13. SalimMhina

    Maneno maarufu secondary za bweni

    kilaza=mwanafunz wa mwisho kitaaluma Toboa ozone=kukesha ucku kucha ukisoma kukamia=kusomea mtihani yani paper kesho we unasoma Leo nyari=wali keki=ugali kisha nuka=muda wa mlo umefika T.O=Table one (mtu wa kwanza kuingia bwaloni Kyla mlo
Back
Top Bottom