Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,445
Mndele umeanza siku nyingi! Yaani uko sekondari na unajua punyeto. Mi nilikuwa sijawahi hata kujichungulia!
Haaaa Mndele.
Majaribio muhimu.
Mndele umeanza siku nyingi! Yaani uko sekondari na unajua punyeto. Mi nilikuwa sijawahi hata kujichungulia!
Beach-chooni -mazengo complex
Mau=hedhi kwa akina dada.
Amehang (tamka ameheng'i)=kuishiwa pesa za matumizi boarding.
Wakuu,amani kwenu...
Ningependa tukumbushane maneno maarufu yaliyokuwa yanatumika shule za secondary hasa boarding.
Mi nakumbuka maneno kama:
1.Njuka,kitimoto,mkia,nyoya=form one
2.Kufufuka=kuamka usiku kusoma.
3.Kuwa Mongwe= Kuishiwa pesa.
Sifongo=Uji usiokuwa na sukari.
4.Kuchoma=Kuingia bwenini ukiwa umevaa viatu/kandambili
5.Top layer=watoto waliokuwa wanakuja kuchukua mabaki ya vyakula.
6.Nelkon,Abbot,Lambert,Lodgers,UP,BS,Mkate,Jacky Fernandes,Nalndel Kumar=miongoni mwa vitabu maarufu vya sayansi.
Mnaweza kuendeleza list...
Umenikumbusha mbali kugombania tuftiii......ha ha ha ha ha haaaaaaa
Labda tumesoma mkoa mmoja...heheh!!
Utakuwa mtamu kinyama