Recent content by salichuma

  1. S

    Msaada Namtafuta baba yangu

    Nitafanya hivo japo kwa sasa naishi mkoani
  2. S

    Msaada Namtafuta baba yangu

    Habari wana JamiiForum, naitwa Christina umri miaka 28. Namtafuta baba yangu mzazi kwani toka nimezaliwa sijawahi kumuona zaidi ya kuambiwa alipokuwa akiishi na mama yangu alishafariki lakini kabla ya kufariki nikiwa na miaka 12 alinambia kwamba baba yangu alimpa ujauzito wakati akiwa anafanya...
  3. S

    Bao la kwanza, limenipa mfadhaiko

    Nimewahi siti, ila naona kama vile story ya kutengeneza fulani au kuna kadawa kametumika ufanye ivo
  4. S

    Nauza Baiskeli Za Jumla Na Rejareja

    Za watoto picha zake tupe pia mkuu mwanangu anatimiza miaka sita nataka nimnunulie moja
  5. S

    Nataka nitoke out na shemeji yenu. Je, niende naye wapi?

    Sehemu comfortable nenda kanisan
  6. S

    Nataka nitoke out na shemeji yenu. Je, niende naye wapi?

    Mbona ukitaka kutoka na mchepuko hamsemagi watu bhana
  7. S

    Picha ya Dkt. Mauki na binti yake imekuwa na mjadala mkubwa FB

    Nyie hamjui kuwa mtoto wa kike anampenda babaake sana na ni nature ndio maana wakiwa wakibwa watoto wakike lazima wagombane na mama yao kama mama yao anamchukulia poa babaaao yaani haoneshi mapenzi ya dhati japo hii hali hupelekea watu kuhisi tofauti kwani inaweza pitiliza mipaka sio wote...
  8. S

    Rais Magufuli pesa mtaani haipo, biashara ngumu kufanyika, mambo ni magumu sana huku kitaa

    Mi ninachoona ni kwamba hata ukifanya kazi ukapata hela uhalisia wa bidhaa na hela hauko sawa kwani unatumia nguvu nyingi kupata hela halafu unanunua kitu kidogo Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom