Hapo ndo hesabu za probability zina husika na maombi ya kutosha. Kisa cha kuwepo kwa ndoa ni kutokana na kubadilika kwa tabia za watu. Ingekua hakuna kubadilika watu wangependana milele na kusingekua na wazo la kutafuta mngine. Ila ndoa ndo imekuwepo ili hata mkibadilika hakuna kuachana.
Ila nako kuoa mtu mwnye tabia unayoitaka au kuolewa na mtu mwenye tabia unayoita, si kwa kuchagua wala kwa kusubiri. Japo ni bahati tu. Unaeza ngoja sana na bado ukapotea na unaeza chagua sana bado ukapotea vilele.
Over drive ni kama gia ya ziada itakayokupa mizunguko mingi ya driving shaft kwa mizunguko michache ya engine yako. Unapaswa kuitumia ukiwa unatembea na mwendo mkubwa. Faida zake utatumia mafuta kidogo mana gari inakwenda kasi kwa mizunguko michache ya engine. Mfano katka gari ya kawaida yani...
Swala ni kwamba ye huenda hawafahamu waliopata ajali muekewesheni tu kuwa ni watu wanaojulikana na watu wengi yani maarufu kuliko yeye. Hata pinda akionekana anagombea dalada posta inaweZa kuitwa breakingnews. Ni kitu kipyaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.