Recent content by saleni

  1. saleni

    JamiiForums Tanzania Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

    Hongera Haji ikawe heri
  2. saleni

    JamiiForums Tanzania Diamond ampa Millioni 15 Haji Manara kwenye Engagement yake

    Ikawe heri hongera haji kwa hatua nzuri
  3. saleni

    JamiiForums Tanzania Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Mleta uzi hupo sahihi, hawana lolote kazi kupiga mipicha na miwani mikubwa ya kuchomelea, kutulingishia lingishia mipicha.
  4. saleni

    JamiiForums Tanzania Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jmos kulikuwa na msiba Msoga wa babu yangu walikuwepo familia yake yote, mdogo wa Kikwete kaoa shangazi yangu pale Msoga.
  5. saleni

    JamiiForums Tanzania Picha: Ray C amtembelea Lady Jaydee

    Jde...., namshuru mungu sijajiingiza kwenye madawa ya kulevya, Rayc,.,.... hata Kama niliingia kwenye madawa Ila kwa Sasa nahitwa mama, mungu ni mwema siku zote. Yalijili kwenye mtandao wa x zamani Twitter, baada chid kumshauri jde ang'efanya nyimbo za dini.
  6. saleni

    JamiiForums Tanzania Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

    Kina mwishee wamepumzika lakini mziki unaendelea tu, na wao ndio manguli wa zamani , na mziki wao unaburudisha mpaka leo, mziki utaendelea tu hata huyo mtoto wa tandale akiondoka.
  7. saleni

    JamiiForums Tanzania Joti kateleza hapa

    Joti kujichetua tu, kapata mjengo gari, mke familia wanapishana kwenda chooni, mpaka Sasa anazungumzia koneksheni,
  8. saleni

    JamiiForums Tanzania Davido ashtakiwa kwa kumtishia maisha Tiwa Savage

    Huyu alishatiwa na jamaa na move lilisambaa Kama la gigy,
  9. saleni

    JamiiForums Tanzania Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Chawa wa faida, Mwijaku, Baba Levo, Manara,, wengine machawa ziro wasiopata faida.
  10. saleni

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Flora na Gwajima ilikuwa hotel ya Gwami Moro. Na Yule mukabwa aliyeimba kiatu kivue na mhando ndoa yake imevunjika.
  11. saleni

    JamiiForums Tanzania Hiring a Medical Receptionist

    Wenzenu muhimbili wanaajili kidato Cha nne na certificate ya mapokezi Basi,udsm wanatafuta rec.. kidato Cha nne na certificate ya rece.., serikali Tena, nyie vigezo vikubwa alafu watu binafsi.
  12. saleni

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha (ualimu)

    Nenda Veta, utanishukuru baadaye I'm tell you.
  13. saleni

    JamiiForums Tanzania Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Hata gigy money mcheza x kaokoka na wolper kwa nabii Malisa.
  14. saleni

    JamiiForums Tanzania Hivi kizaramo, kikwere na kidengereko ni lugha moja?

    Sawasawa, kule umwinyi tatizo nalo.
  15. saleni

    JamiiForums Tanzania Hivi kizaramo, kikwere na kidengereko ni lugha moja?

    Ubwa ndo Nini, napenda kujua maans yake.
Back
Top Bottom