Recent content by Saleko

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    You are absolutely Right.
  2. S

    JamiiForums Tanzania US, UK and France launch airstrikes in Syria

    Na wewe unategemea vyombo vya habari vya Us viseme nini??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Mimi niko msibani hapa na mpaka dakika hii chanzo cha uhakika kbs hakijafahamika ila rumour ni mgogoro na mkewe ninaimani baada ya muda tutakipata chanzo cha uhakika ila si suala la mali maana mali wamegawana karibu miaka kumi na mdogo wake marehemu ndio mwenye bus zinazofanya ruti ya tbr dar
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Hujanielewa mkuu na wala hupaswi kuwa na jazba,nimerekebisha hapo kuwa huyu bwana hakua kijana mdogo ila ni mtu wa makamo around 47 sijasema mtu mwenye 47 hawezi kufa na pia chanzo kikubwa kinaaminika ni mgogoro wake na mkewe,relax bro hapa tunaelekezana tu wala hatugombani
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Sababu ilotajwa sio ya kweli mkuu,watu wanazusha tu sijui kwanin hatupendi kuwatendea haki marehemu maana huwa hawawezi kujitetea
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Mkuu sababu ulizozitaja si za kweli maana huo mgao unaouzungumzia ulifanyika almost 10 years ago,na marehemu si kijana kama unavyosema ni mtu wa makamo around 47,na marehemu jina lake ndio hilo sultan hemed,Mimi ni mtu wa karibu na pia nipo msibani...Tupende kupata habari kutoka vyanzo vya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Kama uko Dar nicheki nikusaidie kiufundi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Ninayo j8,nicheki 0763778186
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata dawa hizi za Genital Warts

    Kaka kama upo Dar nenda salama pharmacy iliyopo mlimani city,ulizia dawa inaitwa bazuuka,ni nzuri mno,siku tatu warts zote zitapotea
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli piga marufuku vijana wa Tanzania kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu

    Umemuelekeza vizuri...but nitofautiane kdg na wewe mkuu,Oman maisha si kama hapa kwetu they are far better than Us...Penye ukweli tuuzungumze tu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Nikikuita fala wala sitakosea,Yes wewe ni bonge la fala
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

    Sahihi kabisa mkuu,ila u Dr wake ni wa kusomea sio soka kaka,ni mchumi but i stand to be corrected.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania Waasia kwenye vyombo vya Usalama

    Mwarabu yupo kaka,ni RPC wa Ilala Bwana Salum
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    0763778186
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    S5 vipi?imetumika kdg kwa 300
Back
Top Bottom