Recent content by salcom

  1. salcom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Kiukweli pindi tunapozungumzia ADSL tunarudi nyuma katika utandawazi maana hapa tunazungumzia muunganiko wanjia kuanzia MSAN, MDF, CABINET, DP ndipo huduma ifike kwamteja. Hivyo huko kote inapita copper cable ambayo kiuhalisia inabeba 2Mbps - 4Mbps napia Fault zinatokea mara kwamara kutokana na...
  2. salcom

    JamiiForums Tanzania Wanaohitimu PCM wanaweza kusoma kozi gani?

    Pindi unaposoma PCM, kwanza jikubali kwamba wewe ni Engineer mtarajiwa. Nenda chuo kapige moja kati ya kozi hizi....Mechanical, Electrical, Civil au Compture Engineering. Hakikisha unapokua chuo unapiga misuli kweli kweli ili utoke upo nondo kwenye theory & practically as well as ukienda field...
  3. salcom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Habari, Nimenunua router yatigo (Huawei), Model: E5573Bs-322 na IMEI : 864249044677266 inatumia line moja tuu ya tigo. Pindi nikiweka line ya mtandao mwengine inanihitaji niweke SIM LOCK CODE ili niweze kuunlock device. Tafadhali naomba msaada wa kuiunlock hii router ili iweze kutumia line zote...
  4. salcom

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Iwapo Corona ikifika Dar-es-salaam tutakufa sana, kutokana nahuu usafiri wetu wa mwendokasi maana tunajazana sana mpaka kupita kiasi. Eeeh......mungu tunusuru
  5. salcom

    JamiiForums Tanzania Website ya kujifunza IT

    www.w3schools.com, This is the world's largest web developer site. CCNA - ingia youtube kuna jamaa anaitwa Imran rafai ( free cisco video training- Networking).
  6. salcom

    JamiiForums Tanzania Watafuta ajira tuache kujimwambafai

    Wahenga walisema, "kusoma sio kazi, kazi kupata kazi".
  7. salcom

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa na sare za Jeshi la JWTZ na Polisi

    Huyo aliyevaa sare ya jwtz akichukuliwa na MP atahadithia kitakachompata
Back
Top Bottom