Recent content by Salary Eclipse

  1. Salary Eclipse

    Rais kutembelea baadhi ya mikoa zaidi ya mara 3 huku mingine hajawahi kwenda, iko sawa hii?

    Ukute hata kuna mikoa mingine keshatoa Mil.50 kila kijiji,huyu jamaa hasomeki kama ukoo wa samaki.
  2. Salary Eclipse

    Yametimia ya Magufuli baki: Juma Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

    Ccm ni chama kizuri sana ila watu wake wana entertain sana hali ya Umbururalism.
  3. Salary Eclipse

    CHADEMA si CHADEMA tena

    CCM ya sasa hovyo sana,huwez kuiringanisha na ile ya enzi za mwalimu,yaan ni hovyo mno tena vi. ..la. ..za tu ndio wanaoishabikia. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Salary Eclipse

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Yaan ukiwa mwana lumumba unakuwa kama tahira hivi,ila kuna siku yatapata akili haya mazoba ya lumumba. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Salary Eclipse

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Time will tell for nonsense!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Salary Eclipse

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Una hangaika na akili za wajinga kaka!! Achana na wajinga kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Salary Eclipse

    Mwatuona hatuna akili enyi wapinzani!!

    Kuwa mwana fisiem ni laana tosha kabisa. Maana wachawi wa maendeleo ya nchi yetu ni hao,ila kifo chao chaja,let's buy a time.
  8. Salary Eclipse

    Kama ilivyotarajiwa: CHADEMA waja na hoja nzito kuhusu mchanga wa dhahabu, wananchi wapigwa butwaa

    Chadema ipi inayopinga maendeleo ya wananchi??? Acha kufanya uchochezi humu. Chama Cha Maboya mnaamini kama hii nchi ni yenu pekee yenu,yaan kama vile hamtakufa,Mwenye mlengo tofaut na hicho chama chenu mnamuona kama mkimbizi vile. Elimu buree,sasa hao unaowaabudu wew wanawasomesha watoto wao...
  9. Salary Eclipse

    Mkakati wa Mafisadi kuwatumia UKAWA kuwaangusha Nape, Mwakyembe na Prof. Muhongo wakwama

    Jamaa ni ki....l....a...z...a sana ,hata wizara ya michezo imempwaya to the extent.
  10. Salary Eclipse

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Mim binafs huwa siwez kubinashana na watu wenye I.Q ndogo kama po.....li.....ci. eti mkanda unabendera ya taifa so then....!!!!! Kwani kama umeapa hutakufa???. Idiot
  11. Salary Eclipse

    Lema angeshiriki maandalizi ya kuaga miili sio kusubiri kipaza sauti jukwaani

    Ccm kwani nao watu.!!!!?.Ngachoka mimi.kwani waliopewa mike wote waliandaa hayo maziko? Au hujui kuwa kulikuwa na Bunge? C C M mliowengi akili zenu kama za boss wenu,mmekalia visasi visivokuwa na tija kwa taifa letu,eti li CCM linakuja na sare mara kofia ya chama msibani!!!-Laana hio ma...
  12. Salary Eclipse

    Kutoka katika Vituo vya Mabasi ya Mikoani, hatimaye Siri za Abiria wa Kiume zafichuka rasmi!

    Mimi sipendi kukaa na wademu kwenye basi maana wengi wao hutapika sana njiani.
  13. Salary Eclipse

    Maneno maarufu secondary za bweni

    Kwa wale wa Musoma Boys(Musoma Technical) 1.Dawa=demu 2.pola=uji. 3.gada=ugali 4.waloko=watoto wa mtaani waliokuwa wanakuja kuchukua makombo ya msosi
  14. Salary Eclipse

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    That's why nimechagua kujikita katika kilimo na ufugaji baada ya kuona kila kukicha naambiwa eti kuna uhakiki Pelekeni vyeti,nikaamua kufanya maamuzi magumu ya kuwaachia kazi yao,nimesoma kwa shida tena shule hizi hizi ambazo tulikuwa tunakula maharage yaliobunguliwa na yenye funza,Ni bora nife...
Back
Top Bottom