Jobongo
New Member
- May 19, 2017
- 4
- 219
Upinzani wa nchi hii, ukiongozwa na chadema wameleta mshituko mkubwa kwa wananchi baada ya kuanza kupinga maendeleo ya wananchi!!
Tangu kuanza kwa awamu ya Tano, imeonekana kasi ya Rais Magufuli imewaacha mbali mno wapinzani kiasi kwamba hata waliyoahidi kuyatatua leo wanayapinga!!!
;Chadema ya leo wanapinga
;Elimu bure
;Ujenzi flyover
;Ununuzi wa ndege
;Ujenzi wa reli
Bei ya zao lá korosho kupanda
;Serikali kuhamia Dodoma
;Wakwepa kodi kufukuzwa
;Wauza madawa ya kulevya kukamatwa.
: kupigwa marufuku kwa wizi wa dhahabu kupitia mchanga unaosafirishwa nje kitapeli.
Hali hii imewaacha njia panda wananchi wasijue wapinzani wa nchi hii hasa wanasimamia nini.
Labda leo tuwaulize, nyie wapinzani uchwara wa nchi hii kwenu neno maendeleo huwa mnaelewaje??
Haya yanahusiana na mada iliyopo mezani?!