Mkuu kinacho tuponza sisi waafrika ni ujinga wa udini.
Waafrika wengi hasa jamii isiyo ya kiislam hawataki kuamini au kuema kama wazungu wajerumani waengereza wareno wamarekani ndio vinara wa biashara ya utumwa na ukatili kwa waafrica.
Hizo ni chuki zako kwa jamii ya kiarabu.
Na nahisi tatizi sio uwarabu ni uislam na hayo unayo yasema ya kuhasi babu zetu na kuuza babu zetu huna ushahida.
Hizi ndio propaganda za muengereza na mjerumani walizo waaminisha waafrika kama ww.
Nakama unaushahidi wa picha ya muwarabu anakokota au...
Umesahau na wajerumani na waengereza na wareno au hawa hujui au hutaki watu wajue kama ni zaidi ya waarabu?
Bora waarabu waliuuza tu wazee wetu wakiwa hai kuliko wareno,wajerumani na waengereza walio tesa na kuwauwa waafrika kwa malion.
Hapa kwetu tanganyika wareno na wajerumani wameuwa na...
Hata nilipo taka kufikiria ili nijiunge na chama kimoja wapo cha upinzani nilipata jibu la haraka sana kama vyama vya upinzani vya tz havina viongozi makini na wenye nia ya upinzani wa dhati zidi ya chama tawala ccm.
Nilijiuliza wako wapi hawa..JIDAWI, MAPALALA, LAMWAI, NGAWAIYA, MREMA, MARANDU...
Acha kututukana wtz tuliomchagua Kikwete unatokosea adabu yaani wtz zaidi ya milioni 6 tuliomchagua kikwete ww hutuoni unaona kura 2 tu za luwasa na
rostom?
Kama wao wanauwezo wa kiweka rais wa tz wamtakae wameshindwa nini kujiweka wenyewe?
Bora unipotezee maana hunajibu.
Ndugu sio lazima niwe mfugaji ndio nijue ya wafugaji.
Dunia yaleo nindogo kama kijiji kidogo.
Zaidi nimekuomba unikumbushe lini wafugaji watz walifanya mikutano ya hadhara?
Lini nikumbushe ww, jamii ya wafugaji waliwahi kuandaa mkutano wa hadhara?
Au mfugaji gani aliewahi kufanya mkutano wa hadhara.?
Mm nina umri wa nusu karne ktk ardhi hii ya tz sijawahi kuona mfugaji au wafugaji wakifanya mikutano ya hadhara kama ya kisiasa.
Huwezi kujua na hutojua nini hoja yangu.
Maneno ya mwalimu jkn umeyanakili vyema kwa kuwa yanagusa tabia na akili ndogo ulizo nazo.
Na hunabudi kuzingatia vyema huo usemi wa mwalimu.
Ndio nyie mulio muita Sumai mr 0 baadae mukarudi mukamuita mr gold ndio nyie mulie ibuwa neno fisadi nadio nyie...
Mtu anapo jenga hoja nivyema akajibiwa kwa hoja sivyema hoja ikajibiwa kwa kulalama.
Unapolalamika na kuhisi unaonewa unapunguza uwezo wa kifikira na kungamua mambo.
Nahili ndio tatizo nililo liseama huko nyuma.
Kila kitu kinatafsiri mbili .
Tafsiri mbaya na tafsiri nzuri.
Ww umetafsiri vibaya maadiko yangu ingwa mm sikuwa na nia mbaya hiyo ulio iita ya dharau.
Maandiko hayo hayo ungetaka kuyatafsiri vizuri ungeweza kitafsiri.
Lakini pia huwezi kuwa nafkra nzuri kama hukupata malezi mazuri inawezekana...
Alisema akishindwa atarudi munduli kuchunga ngombe wake.
Lini umeona mchunga ngombe akipewa nafasi ya kuongea na taifa?
Lini mchunga ngombe akatufanya tuwe tunaishi na kwa mashaka?
Ngombe wenyewe alionao amesema hawafiki 1000 sasa mchunga ngombe wa idadi hiyo kweli awe gumzo ktk nchi?
Nina imani kama mwezimungu atamjaalia afya njema atawanyoosha hawa watu wanao ipaka matope serikali na chama kinacho tawala.
Ukizingatia watumishi wa uma hawazidi laki 5 na ktk hao lakini utakuta wanaokwamisha maendeleo hawafiki hata elfu 5.
Nadhani akiwazibiti wakuu idara,mawaziri, ma RC na ma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.