Jamii gani nilioidharau?
Jamii ya wafugaji
Lini nikumbushe ww, jamii ya wafugaji waliwahi kuandaa mkutano wa hadhara?
Au mfugaji gani aliewahi kufanya mkutano wa hadhara.?
Mm nina umri wa nusu karne ktk ardhi hii ya tz sijawahi kuona mfugaji au wafugaji wakifanya mikutano ya hadhara kama ya kisiasa.
Mtu kama wewe njia pekee ni kukupotezea maana hujitambui, unaona kuwa na umri nusu karne ndio unafahamu kila jambo? Utafikisha hata karne moja pasipo kujua mambo yote. Kama wewe sio jamii ya wafugaji huwezi kutambua kama hiyo mikutano inafanyika au la.
Unaumia peke yako usichanganye wenzio,kama hulali ni wewe maisha yangu yanasonga with or without Lowassa....
Magufuli hapigi kazi! Lets be honest kwenye hili! Magufuli bado yupo kwenye campaign! Anagusa sehemu zilizoandaliwa makusudi ili kuwahadaa wadanganyika! Mfano muhimbili. Kaenda mchana, jioni hazina wakatoa check, two days mashineSasa tutishwe na ukimya wake Kwasababu gani??
Na Magufuli hapigi kazi Kwasababu ya Lowasa!
Kwa taarifa yako huyo Mamvi wenu hana Dili tena, sio ndani ya CDM wala ndani ya Ukawa!
Ni sawa na kondomu ikishatumiwa hakuna anayetamani hata kuigusa!!!
Magufuli ndio habari ya mjini!!!
anawaza yeye na mwenzake Sumaye namna ya kumzuia Magufuli kunyang'anya mali zao
Always ukimya ni jibu zuri, na hakuna haja ya yote hayo kama kuna pingamizi unaenda sehemu husika otherwise tujenge taifa
Kukaa kimya ni hazina kwa mwenye hekima.
Muacheni mzee wa watu apumzike. . . . . uwezo wa kusema anao akiamua. . .
Sasa tutishwe na ukimya wake Kwasababu gani??
Na Magufuli hapigi kazi Kwasababu ya Lowasa!
Kwa taarifa yako huyo Mamvi wenu hana Dili tena, sio ndani ya CDM wala ndani ya Ukawa!
Ni sawa na kondomu ikishatumiwa hakuna anayetamani hata kuigusa!!!
Magufuli ndio habari ya mjini!!!
Mie nishaanza kumuamini Magufuri. Ukimya wa Lowassa nimekuja kugundua sio sifa ila ni madhaifu makubwa sana aliyonayo. Alinyamaza kuhusu kashfa lkn Kikwete siku anafunga kampeni Mwanza akamchana live na matokeo tumeyaona. Mtu ambaye ninamkubari kwa sasa ni Maalimu Seifu na tamko lake kwa wakati muafaka katika uchaguzi huu. Tusijidaganye Lowassa tulimpenda sana na tulimpa kura nyingi sana lkn hakuwa amejipanga kuzilinda. Tupelekeni mawazo yetu Zanzibar kama matunda ya UKAWA. Shukrani zimwendee Mansour aliyetoka CCM na kuunda kamati ya kumpeleka Seif ikulu na kweli wamefanikisha kwa mpangilio ulionyoka.
taratibu iman na lowassa inaanza kuyeyukaaa
Shost hakuna mtu niliyewekeza akili yangu kama Lowassa. Ndugu na marafiki wameniblock Facebook sababu ya huyu mtu!! Nimekuja kugundua ni mtu asiye na maamuzi kwa wakati muafaka. Maalimu Seif angekuwa kama Lowassa hivi sasa CCM Zanzibar wangekuwa wanashangilia ushindi wa wizi. Kikwete alimfahamu madhaifu yake ndiyo sababu siku anafunga kampeni Mwanza akamchana live kuwa alihusika na Richmond na ndiyo chanzo cha kumkata Dodoma. Magari ya kura yamekamatwa hadi kwenye mitandao jamaa yuko kimya tu!! Matokeo yakaazwa kutangazwa jamaa kimya tu!! Angalia Seifu alipopata hesabu zake za kura akaitisha vyombo vya habari vya nje na akatangaza matokeo yake yeye alishindwa nini!? Tamuunga mkono Magufuri kwani ameanza kwa kunigusa sana.
ila afya yake ni tatizo pia, hawezi himili vishindo vya vuruguu mkuu!!!
Ngoja tufanye mipango ya kusaka spika wa bunge, nafikiri hiyo itakuwa zawadi nono atakayo tuachiaa
Unawaza uspika UKAWA!!!