Aliwekwa na watanzania na sio vinginevyo.hao mnaowasema walimuweka mna ushahidi gani?we don't entertain cheap gossips.
Tutakukumbuka mzazi kwa kuiacha nchi katika mikono safi na salama.
kichefuchefu.
Ujivuni wa hela si mali kitu, utawalipa wachache kwa tamaa zao na wengine kwa njaa zao, lakini hutakinunua chama chote. Watawalipa wachache lakini hawatawanunua Watanzania wote na Watanzania wataamua.
Usituletee mtu huyo tunataka tumsahau haraka, hapo anazungumza unafiki mtupu, ni nani asiyejua kuwa Kikwete kawekwa madarakani na Lowassa na Rostam Aziz
Niwe labda kipofu! Ama niwe na chuki zangu binafsi au najihisi nimkamilifu sana siwezi kosea basi ndipo nishindwe kukusifia nakukutakia heri,fanaka na maisha mema Mh Rais mstaafu. Najuwa kwa namna moja au nyingine ulitukera wengi wetu. Hata hvyo umeyaishi maisha ya unabii ili neno litimilike. Your great president to us ever. Mim ni mkiristo na nimwanafunz wa Biblia. Labda niwakumbushe wa Tz juu ya nabii mmoja na masia Yesu kristo. Huyu alitoka juu lakini historia yake niyakushangaza sana. Alikuja kama mnyonge na Aliondoka kama mnyonge ktk njia ya ajabu sana, ila leo jina lake lina nguvu sana pita majina yote duniani. Mh Kikwete unyonge wako na upole wako umeiangusha miamba na majabali ndani ya Taifa hili na mwisho umetuletea kijana Magufuli. Ama kwa hakika wewe na wazee wote ktk chama ni tunu ya taifa letu kwa miaka elfu ijayo ikhwa viongoz wa sasa watazitambuwa alama za nyakati nakufanya mambo mema kwa Taifa. Mh Rais mstaafu hata kama ndimi elfu zitakejeli kaz yako basi mawe na majabal yatasifu kaz zako pamoja na watanzania wote wenye mapenz mema na taifa hili. Kusema ukweli namdharau mtu asie kubal ukweli hata pale ukweli upo wazi ktk macho yakibinadam. Hongera sana Rais wetu na usichoke kuja kwetu nakutupa mahusia yako. Mungu ibariki Tz na watu wake wote. Amin
Ndivyo mlivuokuwa mnadanganyana saaa imekuaje wameshindwa kujiweka? Jk alikuwa ni chaguo no.mbili la Mwl Nyerere ndio maana aliruhusu aingie mpaka tatu bora waliokuwa hawatakiwi ni kina Lowassa na Mzee Malecela na walikatwa na kamati kuu hata kwny NEC majina yao hayakurudi, Mkapa aliagizwa Amuweke Foreign affairs ili asichafuke kisiasa akipewa Wizara za mambo mengine kama kina Iddi Simba na Prof Simon Mbilinyi ndi maana hata report zankina Paul Sozigwa za kumchafua jk zilipuuzwa na Mzee Mkapa na hata Kwny Mkutano Mkuu alipigiwa debe na Mkapa Mwnywe, Lowassa alijipenyeza kwny Nyota ya jk kama kawaida ya kupenda kutembelea nyota za wengine sasa anatembelea ya Ukawa. Lowassa alikuwa Mwnykt wa Kamoen za Rais jk kama alivyokuwa Orof Baregu kwa Chadema au Mh.Mazrui kwa Maalim Seif.