Recent content by SALADY

  1. SALADY

    Mungu haponyi ni juhudi za madaktari na wewe binafsi, lakini je ameshamaliza kuumba?

    Sifa kubwa ya Mungu haonekani kama umbo . Yy yupo kila sehemu, kwenye majeraha yupo, kwenye kifo yupo, kwenye maji, yupo ndani ya mwanadamu, na cell zake zote za mwili. Na yy ndiye Chanzo cha kila kitu Kama unataka kumuona kama umbo ambalo madaktari wanao au wanyama wanao Kufa kwanza ndio mlango...
  2. SALADY

    Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

    UBAHILI SIO DHAMBI NI KUJITAHIDI KUISHI CHINI YA KIPATO UNACHOKIPATA. JARIBU KUISHI ZAIDI YA UNACHOKIPATA UTAONA FAIDA NA HASARA YA MADENI
  3. SALADY

    SoC04 Mabasi maalum kutatua changamoto za usafiri kwa wafanyakazi

    Hakika, libarrikiwe Tumbo lililokuzaa una mawazo mazuri.
  4. SALADY

    SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

    Wazo zuri sana na kila shule ya msingi iwe na kiwanja cha michezo ambacho kinatumiwa na wanafunzi tu. Kama wanamichezo kutoka nje watakihitaji wanapaswa walipie ili kuweza kukitengeneza kuwa na ubora na kuvutia timu mbalimbali kuja kufanya mazoezi na kuinua kipato cha shule.
  5. SALADY

    SoC04 Vitalu vya kuvuna kuni na mkaa kwa uhifadhi wa mazingira

    Idea nzuri sana, ngoja niende kijijini nikaifanyie kazi faster maana nimeshaona fursa , ya kuvuna matawi na kuuza kuni bila madhara ya kuharibu mti wote.
  6. SALADY

    Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

    Watu badala ya kutafuta kumuona Yesu kwa maombi yako mwenyewe, unataka kumuona binadamu mwenzio. ambaye kwenye tv unamuona. Kila siku nazidi kuona ufunuo wa Yesu watakuja macristo wa uongo. Watu wangu wanaangamia kwa kutokuwa na maarifa
  7. SALADY

    Nini ushauri wako kwa anayetaka kuacha kazi ili amtumikie Mungu?

    Ww ni Miongoni wa watu ambao wanao mtumikia Mungu, fikiri kama ukiamka asubuhi kwa mamlaka Mungu aliyokupa ya kuleta mkate katika familia yako, baada ya mahangaiko Mengi, yakiwemo kutukamwa na Boss au mtu yyte, lakini, ukifika nyumbani umembebea mwanao au mkeo zawadi, na akakushukuru na ukasema...
  8. SALADY

    Nini ushauri wako kwa anayetaka kuacha kazi ili amtumikie Mungu?

    Hapaswi kwenda kumtumikia Mungu, kama anawaza kuwa vizuri kiuchumi, anapaswa atumie mali yake na chochote alicho nacho kumtumikia Mungu. Kuwa vizuri kiuchumi Mungu atampa maono mengi ya namna ya kufanya zaidi.
  9. SALADY

    Saratani ya Matiti, saratani inayowapata watu wengi

    LIBARIKiwe Tumbo lililokuzaa, Tutawasaudia sana akina mama, na akina dada na watoto wetu miaka ijayo kwa andiko lako. Big up.for evidence based.
  10. SALADY

    SoC03 Tutumie maji chini ya ardhi kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji

    Grarama za maji ukiwa umbali wa mita mia ni zaidi ya 1 m lakini ukichimba kisima kwa njia ya kawaida na unapata maji ya uhakika hyo milioni haiwezi isha. Uchimbaji wa maji yaliyo chini ya ardhi ni rahisi haswa kwa matumizi ya nyumbani. na zaidi ya hayo pia ukiwa na maji yako hutalipia bili...
Back
Top Bottom