Acha ujinga huwezi ongelea siasa ukiacha dini makatazo ya sias na ya dini yanafanana uyofauti ni sehemu ya kutumikia adhabu itokanayo na kosa ulilo tenda,mfano sisi imani yetu inatuaminisha kuwa ukiiba utakwenda motoni upande wa siasa ukiiba utakwenda jela nafikiri umenipata.
Ni upuuzi tu, hamna jipya. Wanaacha kudeal na mambo ya msingi wanakazana kuuwa siasa za upinzani hazifi wataondoka wao, wajanja wameshaanza kujiengua mapema.
Sana sana mnatafuta huduma zitolewazo na hiyo shule zidorore kwani wanafunzi hata wawili wawili hukaa bila wasi kwenye siti moja angalieni tatizo kama hilo lisijirudie na hakuna dereva anaekubali ile upande wake hata iweje ukiona hivyo ni ajali isiyo epukika.
Sioni kosa la huyu Mama wewe kama ulijua sio raiya akawaje ukaufyata hadi leo akiwa ni mstaafu wa idara mbalimbali?ndugu mwandishi nchi hii Tangu Uhuru aliewahi kuingoza Tanzania akiwa raiya halali ni jk pekee hivyo ulitaka wasaidizi wao wawe Raia inahusu nini!!Chukueni muda wa kumuomba Mungu...
Wewe mwenye jina la dawa, huyu Mama ni Mzazi mlezi na anaejua maumivu ya kupata mahitaji kifamilia yalioyokea ni ulipizaji wa kisasi tuu kwani karibu robo tatu ya majina hayo yana wagusa walimu, na kama una umri kidogo hapo awali Baba wa Taifa aliwakusanya vijana wanaojua kusoma na kuandika...
Mlimuona Kubenea mtovu wa nidhamu aliposepa uzinduzi wa fly over eeh, hii ni nchi ya Mgufool so ni maombi yenu yanaweza kumbadilisha kifikra..kazi ipo.
Huyu Mwakinembe afikiri zile kemikali hazijanyonywa vizuri bado zinamchoma haswa kichwani kwani haya aongeayo nahisi ni kupoteza kumbukumbu ya maamuzi aliyotekeleza kumwangushia Lowasa jumba bovu,, akiri tu kuna mistake zilifanyika aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Tunajua siasa ni mchezo...
Nakushuri zidisha upendo kwa mkeo huyo anakutakia kheri katika maisha nia yake msonge mbele, kwenda kwa wazazi ni hatua moja nyuma so bora hata kama usipoweza kujenga lakini unapambana na changa moto ya kutafuta kodi,,,, acha ubwege wewe.
Kwa hakika Tanzania yetu amani inayeyuka polepole kama barafu ikipigwa na upepo, kwa hakika Ndugu Watanzania tunajaribu kukata tawi la mti tuliokalia, kwakweli sijui kama hawa walinzi wetu wa usalama wanastahili adhabu kali kiasi hiki kwani wauwaji wanapaswa kutambua vijana hawa wanatumwa tuu...
Yani nampa big up binafsi nampongeza sana, maana wawezakukuta badala ya kuendesha gari anakwenda kuendeshwa yeye, mimi kuna kijibanda nahisi siku yeyote naenda kung'oa paa na kupiga gredda kila mtu arudi kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.