jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Mheshimiwa Rais yuko sahihi...kwamba unapokuwa dereva usiwasikilize abiria wapiga kelele...wewe tega sikio kwa kengele ya kondakta aka tandiboi.
Ripoti ya CAG 15/16 kuhusu ukaguzi wa serikali za mitaa inatoa muhtasari kuwa kati ya halmashauri 171 zilizokaguliwa 138 zilipata hati ya kuridhisha,32 hati isiyo ridhisha na halmashauri pekee iliyopata hati yenye mashaka ilikuwa ni KIGOMA UJIJI.
PROFILE:
Kigoma Ujiji iko chini ya ACT_WAZALENDO narudia ACT WAZALENDO.
KIGOMA UJIJI INAWAKILISHWA NA MWANASIASA ALIYEKUWA MWENYEKITI KWENYE KAMATI YA PAC .
KIGOMA UJIJI INAWAKILISHWA NA ZITTO KABWE MBUNGE MACHACHARI ANAYESIFIKA KUPINGA UBADHIRIFU.
MY TAKE:
Wabunge wanakaa Dar na kupiga domo kwenye facebook,tweeter na insta kumkosoa Magufuli ilihali halmashauri zao zinafanya madudu.
Narudia tena Rais hana haja ya kuwasikiliza hawa vibaraka wa ufisadi bali asonge mbele na ilani ya CCM na Ahadi zake.
Kumbukumbu:Mwaka uliopita tulishuhudia halmashauri tatu za upinzani zikipata hati chafu ikiwemo ile ya KUB....
Karibuni kwa mjadala wa Ukweli na sio mbwembwe za Insta!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA