Recent content by Salad

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, Wewe ni mzaliwa wa ngapi? Ona majukumu na wajibu wako

    Kwangu mimi hayo ni ya kweli kabisa kabisa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Kama hilo linakufanya ulale usingizi, saaawaaaaa tu. Maharage ya Mbeya umezaliwa nayo na unayo nyumbani kwako. Hahahaaaaaaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Poa tu, wewe ndio umeelewaaaaa, hongera
  4. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Hapo kwenye blue ndio tatizo lako. Nimekuelewa sasa, pole unahitaji msaada wa kueleweka. Nia ya mwanaume ni ndoa tu? mxmmm
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mama aua mtoto kwa kumchapa viboko kichwani

    Yes hali ni mbaya but not hitting the little one's head!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Hilo wala siyo tusi kwangu? Maharagwe ya Mbeya lazima uweke mkaa mara mbili, heri uniite mchicha ambao kabla hujautumbukiza kwenye maji umeshaiva. If thats what makes you happy, fine by me. Kama una dada na yeye angeachana na boy mmoja akaondoka na boy mwingine, nayeye anakuwa maharagwe ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Ndoa unaitaka wewe labda, eti?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    A MAN HAS SPOKEN. THANK YOU VERE VERE MUCH....
  9. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    It could be......................
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Hata iwe backup generator au back up file mimi wala sijali. Mbele kwa mbeleeeee..... Angesema ana mtu wake kwani ingekuwaje?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Kukojozwa ndiyo kwani tulikutana tuuze karanga au tucheze upatu? Hivi unakaa Ke na Me kazi ni nini? Whatsapp chat? Zawadi za Valentine? Tena sitaki zawadi yoyote ....Ndi Ndi Ndi Kweli jando lirudi full swing
  12. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Wala, nataka tu kuwaambia wanawake out there, dont settle for less, mwaka mzima? Mwezi mara moja kama salary? Unavumiliaaaa mpaka unachokaaaa. Kisa?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Si aseme tu? Kama hawezi asepe? Ndio nini kutaka kunipa ugonjwa wa kucheka?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Mzee wapi bwana kijana tu anadai. Yamepita hayo ...ila bwana nature haikutupi. The only difference between A and B ni kuwa mmoja anapiga vitatu vya kama dakika 8 hivi, mwingine anapoga kimoja full kama dakika 20 na nyongeza. Yale yale tu mradi napata ninachokitaka. Tusizinguane.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

    Mwaka mzima na ushee umepita story tu....kama namsubiria fatha XMAS bwana. Kanifanya bwege mtozeni. Jamani hivi akili yangu ilikuwa wapi kuvumilia muda woooteeee huo. Aende tu angekuwa mume angalau kuna kiapo.
Back
Top Bottom