Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,450
- 35,177

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Ramadhan Ng’anzi amesema tukio hilo lilitokea Mei 15 saa kumi na moja jioni baada ya mama huyo kumtuhumu mwanaye kuiba Sh8,000.
Kamanda Ng’anzi amesema mtoto huyo ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kabarimu.
“Alimpiga sehemu ya kisogo hivyo kusababisha kupoteza mwelekeo,” alisema Ng’anzi.
Chanzo: Mwananchi