Just kuongezea tu kama msisitizo kuwa watu wa ict tanzania wapo, zalongwa software imekuwa miongozi mwa Top ICT Youth Innovation in Africa for 2008. Hii imetangazwa mjini Johannesburg wakati wa maadhimisho ya African ICT Achievers Awards for 2008.
hata hivyo wakati zalongwa software...
ndugu "kijakazi", umenivunjia heshima sana. sina hakika una maana gani na neno "mbumbu" ila kama ni kwenda shule, mimi nafundisha chuo kikuu - computer science. kama bado nastahili kuitwa mbumbu leo, nachelea nitawaambukiza watoto wenu. kijakazi, naomba kazi ya kufagia nyumbani kwako.
Tatizo ni...
Leo nimepata aibu sana jamani. Kuna watu wanataka kwenda Tanzania kuona Simba.
nikasema easy, tuma maombi sweden mara moja. kufungua mtandao wa embasy wameweka simu hii +46 8 732 24 30/31. kupiga ha! tunaambiwa leo tarehe 6 June 2008 ni sikukuu ya "January 12" hivyo ubalozi umefungwa mpaka...
ufisadi tz ni kila sehemu.
hebu fikiria eti coca-cola hawalipi kodi! wakati huo huo wamachinga wanakabwa kufa mtu
Posted Date::6/4/2008
TRA yaorodhesha makampuni yasiyolipa kodi
Na Tausi Mbowe
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imewasilisha serikalini orodha ya makampuni makubwa sugu...
Mpaka mwezi January 2008 nilipokuwa bongo, nilishuhudia Embassy Hotel ikiwa bado haitumiki. Hivi kuna mtu anaweza kutueleza ni kwa nini jengo kama lile katikati ya jiji limefungwa kwa muda mrefu vile? Nafikiri nchi inapata hasara sana. Basi lingetumika kama student hostel wa IFM, unless liko...
mh, jamani kweli mafisadi hawana huruma. yaani hela za waalimu ndo zinaliwa hivi. mfuko huu wanachama wake ni wafanyakazi wa hali duni kabisa lakini ndo yanayotendeka hapa! hivi watanzania tutakimbilia wapi?
Ndugu System Admin wa MwanaHalisi samahani kama nakuingilia kazi yako.
Lakini, kwa sasa ukiingia kwenye url ya mwanahalisi ninaliona folder lako unalotaka kuweka mafile ya website hiyo (file attached).
Hili ni kosa kubwa.
Yaani unaruhusu directory listing and browsing. hivyo mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.