Search results

  1. S

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    polisi imkamate huyo dr. mwezake kwanza. Maana huyo alikuwa na akili timamu na liona huyo mtu wa Ikulu. na ni kwanini huyo mtu wa ikulu hamtaji jina?
  2. S

    Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Ni kweli mshahara wa madaktari uko kwenye higher side. Kwa mgomo huu, wameingia choo chaka. Hawakustahili kugoma. Hawajasoma alama za nyakati.
  3. S

    Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

    kwanini wasitoke Urusi ambako madaktari wetu wamesomeshwa huko?
  4. S

    Sherehe za Uhuru: Mkapa hakutokea tena

    may i recommend this short history of tanganyika. Chama Cha Watanzania Oslo "Forening for tanzanianere i Oslo" Tanzanian Association Oslo
  5. S

    Eid Mubarak 2008

    na tuiombee jamii kuacha maovu yakiwemo mauwaji na ngu zetu albino
  6. S

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    ninavyoona mimi, hapa waziri atakula moto!
  7. S

    Websites in Tanzania, watu wa ICT mko wapi?

    Just kuongezea tu kama msisitizo kuwa watu wa ict tanzania wapo, zalongwa software imekuwa miongozi mwa Top ICT Youth Innovation in Africa for 2008. Hii imetangazwa mjini Johannesburg wakati wa maadhimisho ya African ICT Achievers Awards for 2008. hata hivyo wakati zalongwa software...
  8. S

    Tanroads Terminates Norconsult Contracts

    thanks for this story, hawa jamaa wa-norsk wanajifanya wanatoa misaada sana hapa, kumbe ni hela zetu wenyewe wanaturudishia. hii imetulia sana.
  9. S

    Aibu - Embassy of Tanzania in Nordic & Baltic States

    ndugu "kijakazi", umenivunjia heshima sana. sina hakika una maana gani na neno "mbumbu" ila kama ni kwenda shule, mimi nafundisha chuo kikuu - computer science. kama bado nastahili kuitwa mbumbu leo, nachelea nitawaambukiza watoto wenu. kijakazi, naomba kazi ya kufagia nyumbani kwako. Tatizo ni...
  10. S

    Qualified workers available

    ukiajili mtu wa kuletwa kwenye kampuni yako, kampuni lazima ife kifo cha mende
  11. S

    Aibu - Embassy of Tanzania in Nordic & Baltic States

    Leo nimepata aibu sana jamani. Kuna watu wanataka kwenda Tanzania kuona Simba. nikasema easy, tuma maombi sweden mara moja. kufungua mtandao wa embasy wameweka simu hii +46 8 732 24 30/31. kupiga ha! tunaambiwa leo tarehe 6 June 2008 ni sikukuu ya "January 12" hivyo ubalozi umefungwa mpaka...
  12. S

    Coca-cola Hawalipi Kodi

    ufisadi tz ni kila sehemu. hebu fikiria eti coca-cola hawalipi kodi! wakati huo huo wamachinga wanakabwa kufa mtu Posted Date::6/4/2008 TRA yaorodhesha makampuni yasiyolipa kodi Na Tausi Mbowe MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imewasilisha serikalini orodha ya makampuni makubwa sugu...
  13. S

    Holiday INN Hatunayo tena

    Mpaka mwezi January 2008 nilipokuwa bongo, nilishuhudia Embassy Hotel ikiwa bado haitumiki. Hivi kuna mtu anaweza kutueleza ni kwa nini jengo kama lile katikati ya jiji limefungwa kwa muda mrefu vile? Nafikiri nchi inapata hasara sana. Basi lingetumika kama student hostel wa IFM, unless liko...
  14. S

    Ufisadi NHIF

    mh, jamani kweli mafisadi hawana huruma. yaani hela za waalimu ndo zinaliwa hivi. mfuko huu wanachama wake ni wafanyakazi wa hali duni kabisa lakini ndo yanayotendeka hapa! hivi watanzania tutakimbilia wapi?
  15. S

    MwanaHalisi hacked?

    Ndugu System Admin wa MwanaHalisi samahani kama nakuingilia kazi yako. Lakini, kwa sasa ukiingia kwenye url ya mwanahalisi ninaliona folder lako unalotaka kuweka mafile ya website hiyo (file attached). Hili ni kosa kubwa. Yaani unaruhusu directory listing and browsing. hivyo mtu...
  16. S

    Free Seminar On Free Software And Itil

    Source: http://www.freecode.co.tz/seminar.html?catid=9&lang=1 FREECODE and TANZANIA GLOBAL DEVELOPMENT LEARNING CENTRE are pleased to announce the first ever training opportunities on Free Open Source Software in Tanzania Please download the Training Flayer to read more. Module I: Linux from...
  17. S

    Where is Zilipendwa?

    Jim umekumbusha la maana. watuwekee link hapa ya 'zilipendwa' tuione kama zamani.
  18. S

    MwanaHalisi hacked?

    ile ya mwananchi was very serious case. ilikuwa 'cross site scripting (xss)'. yaani ilikuwa ukiifungua inakuja kama kawaida ila kuna images na contents ambazo hazikuwa za 'mwananchi' ila zinatoka website zingine. Hatari yake ilikuwa kwa visitors, wakiifungua ilikuwa inahatarisha information zao...
  19. S

    MwanaHalisi hacked?

    Kwa hali hii iliyotokea kwa MwanaHalisi, kitaalam inaitwa 'Defacing' yaani wamebadilisha 'index' file ya main website. Huyo system administrator anayemanage hiyo server ya mwanahalisi website, hajaconfigure vizuri server yake. Defacing attack kwenye website hutokana na uzembe wa system...
  20. S

    MwanaHalisi hacked?

    Ok, sasa kazi ipo. Mafisadi nao wamechachamaa na kublock mitandao (mwananchi na sasa Mwanahalisi).
Back
Top Bottom