Recent content by saira

  1. saira

    JamiiForums Tanzania Tapeli maarufu Dar akamatwa na polisi

    huyo ni tapeli but depend on situation atakayo kutana nayo anaweza kuwa gaidi vilevile.
  2. saira

    JamiiForums Tanzania Malasyia airline!Tb Joshua amalizia utabiri

    hyo TB Joshua wamemgeuza mungu mtu kumbe nae atakufa tuu,God forbid
  3. saira

    JamiiForums Tanzania Nikikutana na mzazi wa mke wangu wangu nanyong'onyea

    Kaka onyesha msimamo wako we sio shamba la bibi,rudisha mtoto kwa babake au bibi yake hyo aloopiga pumbu kwa wife before you mweke chini muulize kasahau nn ?same to your wife(sina uhakika km umeoa) aamue anataka kuishi n ww kwa amani au bado ana mahaba niue kw jamaa.
  4. saira

    JamiiForums Tanzania UWaziri siku hizi sherehe tu ikulu na familia zao

    Hahahahaaa dansmith umenichekeshaa sana.
  5. saira

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho alicho kipost msanii prezoo baada ya kumwagana na chaga barbie

    Safi sana prezizo mwenye kiranga halaliliwi wala kulaliwa matanga.....who's next
  6. saira

    JamiiForums Tanzania Locked iPhone: Nimeuziwa mbuzi kwenye gunia

    Duh pole sana ndgu huo mwarobaini kaa nao utakufundisha kuwa "bure ghali"
  7. saira

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda hii story

    Wote wasaliti hakuna mwema ni utegaji tuu wa kistyle umetumika.
Back
Top Bottom