Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Jamaa na dem wake waliamua kufa pamoja ili tu wasitengane wakapanda juu ya ghorofa wakahesabu 1,2....3 jamaa akaruka, dem wake akarudi nyuma na kumcheka akisema cwez kufa kwa ajili ya mapenzi kafe wewe mwenyewe! jamaa kuona dem haji akafungua parachuti alilokuwa amelificha akasema ulifikiri mimi mjinga nife kwa ajili yako ungethubutu kuruka ungekufa peke yako JE HAPO NANI MSALITI WA MWENZAKE..?? FUNGUKA.