Recent content by Saint Murano

  1. Saint Murano

    Uanaume shida sana wakuu

    Ukiongea tu kilimo ,bhasi umelima umepanda, umevuna, na kupata hela , hakuna kinachohitajika zaidi ya hilo neno kalime? Ukisema hivyo tu kila kitu fresh
  2. Saint Murano

    Uanaume shida sana wakuu

    KAbisa naamini hata mimi.
  3. Saint Murano

    Uanaume shida sana wakuu

    Kwanza najua kabisa ukishazaliwa mwanaume jua hakuna wa kukuonea huruma, kwahiyo pambana hadi mwisho! Ila Kuna pale mishe zote zinakwama kila unapogusa Ngoma ngumu. DUH hapa nawaza Leo siku itaishaje bila hata mia ya kula? Je, kesho? Kesho kutwa kichwa kinawaka moto stress Ni nyingi. Wakuu...
  4. Saint Murano

    Msaada wa kumpata huyu jamaa yangu ambaye hapokei simu

    Mungu amsaidie sana huyu ndugu yangu.
  5. Saint Murano

    Je, kwa wale vibarua (wafanyakazi) ambao hawana mikataba sehemu wanazofanyia kazi kama wanakatwa NSSF wanawezaje kupata hela zao?

    Mimi naomba kuuliza wakuu kwa vibarua au wafanyakazi wa viwandani ambao hawana mikataba ila huwa wanakatwa NSSF wanawezaje kupata hela zao? Maana mwajiri hawezi kukuandikia barua ya kukuachisha kazi sababu huna mkata wowote na yeye. Maana malipo yao ni per day. Mwenye kujua naomba anielekeze.
  6. Saint Murano

    Nianzie wapi mafao NSSF?

    Mimi naomba kuuliza wakuu kwa vibarua wa viwandani ambao hawana mikataba ila huwa wanakatwa NSSF wanawezaje kupata hela zao? Maana mwajiri hawezi kukuandikia barua ya kukuachisha kazi sababu huna mkata wowote na yeye. Mwenye kujua naomba anielekeze.
  7. Saint Murano

    Natafuta connection kupata kazi viwanda vilivyoko Mafinga

    Yeah niko tayari kama unaweza wewe niunganishe tu mkuu.
  8. Saint Murano

    Natafuta connection kupata kazi viwanda vilivyoko Mafinga

    Habari wakuu, Nimesikia Mafinga kuna viwanda mbalimbali, sasa mimi nataka nikajaribu kutafuta vibarua huko. Naomba kwa anae fahamu zaidi au mwenye connection anaeweza kunisaidia kupata kazi huko kwa urahisi anisaidie. Masuala ya sehemu ya kulala na kula nitajua mwenyewe wakuu, ili mradi niwe...
  9. Saint Murano

    Nimeikimbia kazi Mufindi shamba la miti ya kiwanda cha karatasi

    Na mafinga kuna viwanda mimi natafuta connection ya kupata kazi huko kama kuna anaeweza Kunipa connection nijilipue huko wakuu
  10. Saint Murano

    Natafuta connection: Nataka kwenda Mgololo, Mufindi kucheki kazi viwandani

    Mimi natafuta connection kwenye viwanda vilivyoko mafinga. Mwenyewe connection anipatie wadau
  11. Saint Murano

    Je hizi APP zinapokeaje malipo yao?

    Ila wewe jamaa 😂😂😂 bhasi tu
Back
Top Bottom