Je, kwa wale vibarua (wafanyakazi) ambao hawana mikataba sehemu wanazofanyia kazi kama wanakatwa NSSF wanawezaje kupata hela zao?

Saint Murano

Member
Mar 31, 2019
97
264
Mimi naomba kuuliza wakuu kwa vibarua au wafanyakazi wa viwandani ambao hawana mikataba ila huwa wanakatwa NSSF wanawezaje kupata hela zao?

Maana mwajiri hawezi kukuandikia barua ya kukuachisha kazi sababu huna mkata wowote na yeye.

Maana malipo yao ni per day.

Mwenye kujua naomba anielekeze.
 
Wakubwa naona jamaa hajapata jibu,ipo hivi mimi nafahamu na sheria ipo wazi mfanyakazi wa aina yoyote ikiwa analipwa mshahara anatakiwa kuwa mwanachama wa NSSF, Hivyo ikiwa mwajiri wako anawalipa bila kuwaandikisha NSSF ni kosa, nashauri kwanza muanzie ofisi ya kazi ili wamshinikize mwajiri awaandikie mikataba kisha aanze kuwachangia NSSF.
 
Back
Top Bottom