Msaada wa kumpata huyu jamaa yangu ambaye hapokei simu

Msaada wa kumpata huyu jamaa yangu ambaye hapokei simu

Kuna mahala ulimkosea ila hakuona haja ya kukwambia, badala yake amekufuta kwa style hiyo. Kuna watu wenye character ya namna hiyo.
 
Kuna MTU nilikuwa nawasiliana naye kipindi cha nyuma miaka mitatu iliyopita,ila ss hapokei simu wala kujibu meseji!!!hata namba ngeni hapokei!!!nimeangalia usajili wake bado ni wake.namba yake inaita masaa 24,simdai wala hanidai je wajuzi wa mtandao mnaniambiaje?NB namtafuta huyu MTU kwa sababu alikuwa msaada kwenye mashamba Yangu.
Haya huenda ni malipo ya Jinsi ulivyo m-block jamaa aliehitaji msaada wa kazi hapa jf na ukamsababishia hasara ya 45000.
 
Kama mtu hapokei ukimpigia kwanini unampigia?huku kunaitwa kupotezewa kisilensa.Hataki mawasiliano na wewe!
Angelikuwa anataka kuwasiliana na ww angepokea au angekurudishia,usilazimishe mawasiliano na mtu.
 
Kuna MTU nilikuwa nawasiliana naye kipindi cha nyuma miaka mitatu iliyopita, ila sasa hapokei simu wala kujibu meseji!!! Hata namba ngeni hapokei!!! Nimeangalia usajili wake bado ni wake. Namba yake inaita masaa 24, simdai wala hanidai je wajuzi wa mtandao mnaniambiaje? NB namtafuta huyu MTU kwa sababu alikuwa msaada kwenye mashamba Yangu.
Ungetuma sms kwanza maana branch pia wanasumbuwa


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Atakua alishakufa huko polini so simu ipo hewani tu
 
Back
Top Bottom