Recent content by saim28

  1. saim28

    Nani anaweza kuunda hii mashine

    Kama bado hujapata, Tuwasiliane
  2. saim28

    Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Amka usiku kuanzia Saa Sita. Muombe Nwenyezi Mungu akupe ishara ya kile unacho kifikiria kama ni sahihi au si sahihi. In Shaa Allah, Kwa uwezo wake atakuonyesha njia ilio nyooka.
  3. saim28

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Tanzania kwa sasa hatuna upungufu wa umeme, Tatizo kubwa lipo kwa uwajibikaji wa waliopewa mamlaka ya kusimamia Trc.
  4. saim28

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Niliongea nikaonekana mi ni mkenya
  5. saim28

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Niliwahi sema humu management ya TRC imeoza haitaweza kuendeaha huu mradi.
  6. saim28

    Mikoa Migumu Kutoboa Kimaisha

    Nina mpango wa kuhamia tunduma, mana nahisi huku nilipo mamenikataa kabisa
  7. saim28

    Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

    1. Tafuta kinyozi fungua saluni ya kiume 2. Fungua kibanda cha kuingiza muvi, miziki na kukodisha cd. 3. Tafuta dogo fungua biashara ya kuuza kuku wa vipande
  8. saim28

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hicho kipande cha Kilosa-Gulwe-Igandu wakati wa Magu kilikuepo kwenye mpango wa marekebisho, cha kushangaza kilirukwa bila sababu za msingi
Back
Top Bottom