Recent content by saidjamali

  1. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepanga kutomgusa mke wangu kimwili

    Kaka mchungeze vizur mkeo pengine kuna tatizo upande wako na ciunajua wanawake wa siku hizi ukisha muweka ndani anajiona kama vile kakumiliki kila kitu
  2. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binamu wa mke wangu anaondoa amani nyumbani kwangu

    Hayo mafuta ya KY yafiche then akiuliza ndo utajua unayatumia wapi? Isije kuwa jamaa nae analiwa
  3. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana harufu mbaya mdomoni, nitumie njia gani kumwambia?

    Kwa miaka hiyo yote nimekuwa mvivu sana hasa swala la romance so nikawa nafanya kama mambo ya wazungu kuiga sipendi lakini najua tatizo ni nini sema tu itakuwa aibu kwake na mimi pia anaeza sema nimemchoka kwa kumwambia kuwa yuko hivyo
  4. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana harufu mbaya mdomoni, nitumie njia gani kumwambia?

    Habari mkuu poleni na majukumu Nipo katika mahusiano karibu miaka 2 na mrembo flan hivi kwa kipindi chote hicho nimekuwa nikiteseka na harufu ya mdomo pindi tu mnapokuwa katika mambo yetu.. Na nimejaribu kuonesha ishara zote pengine aelewe tatizo lake imeshindwa. Nikiangalia binti ni mzuri...
  5. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanamidomo michafu sana

    Me mwenyewe yamenikuta hayo Nlikuwa naishi na mke wangu vizuri tu Basi kuna jamaa akampelekea umbea kuwa ninamchepuko duuh huo moto wake ni matata alinitukana mpaka nikahisi pengine hana wazazi nini haitoshi hiyo kampigia simu mama yangu mzazi kamtukana hatari matusi mengine hayaelezeki so...
  6. saidjamali

    JamiiForums Tanzania Benki ipi nzuri kufungua account?

    Weka kwenye kibubu hapo mwanzo mwisho
  7. saidjamali

    JamiiForums Tanzania Nahitaji spea za magari

    Habarini wandugu.. poleni na majukumu ya taifa letu. Wakuu naombeni msaada kwa anae fahamu kwa hapa dar wanapouza spea za magari kwa bei ya jumla
  8. saidjamali

    JamiiForums Tanzania Msaada Tofauti ya RCA cable na HDMI cable

    Ushauri nifanyeje kupata clear maana nikitumia flash iko powa hatari
  9. saidjamali

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [/hii imekaaje]
  10. saidjamali

    JamiiForums Tanzania Msaada Tofauti ya RCA cable na HDMI cable

    Mkuu ina Resolution: 1366x768 je naweza pata picha clear?
  11. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ww utakuwa ushapitia mambo mengi.sana ushauri wangu subiri mwenye sifa hizo bado hajazaliwa endelea kusubiri ila hinipayi ng'o!!
  12. saidjamali

    JamiiForums Tanzania Msaada Tofauti ya RCA cable na HDMI cable

    Wakuu hebu niwekeni sawa kuhusu HDMI Mwanzo nilikuwa natumia cable za kawaida(RCA CABLE) lakini bado picha hazipo kwenye clear ile ya HD Yenyewe msaada kwa mtaalam wa mambo haya
  13. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukiingiaga magetoni kwenu wakaka na mkituacha huo ni uzembe wenu

    Hahahahaha
  14. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

    Huyu mtoto nikimpata nashinda ndani tu
  15. saidjamali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

    Yaani mwanaume kuwa deni mbaya nayo ni jipu tu
Back
Top Bottom