1.Serikali ndivyo ilivyoshtaki.
2.Jaji kakubali mashtaka ya serikali yana kasoro
3.Jaji anaelekeza namna nzuri ya serikali kumshtaki Mbowe
4.Kwa hiyo
a) Jaji alipaswa amwachie Mbowe.
b) Mbowe hashtakiwi na Jaji Anashtakiwa na serikali
Askofu Bagonza
Wewe huelewa wako ni mdogo. TRA barua hawakuipeleka kwenye kampuni Bali waliituma kwa email ya mbowe ambaye alikuwa jela. Sasa hao wahasibu watajuaje Kama kampuni inadaiwa?
Wewe ndio mpumbavu wanasayansi wanatafiti ndio wanatafiti na kutoa jibu sio ngonjera zako na propaganda zaccm. Sisi tuna Nini hadimabeberu watubambikizie virusi. Neti, dawa za ukimwi wanatuletea kwa Nini wasiweke hivyo virusi humo. Pia tbs wanafanyakazi gani Kama sio kuzalilisha vyombo...
Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne.
Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu?
Propaganda...
wewe kweli mhhh. Removal order hutolewa mshitakiwa akiwa ameletwa mahakamani na Hakimu ndio anatoa hiyo order baada ya DPP Kuomba kuwa hawana haja ya kuendelea na kesi. Sasa imetolewa mapema kivipi. Yaani DPP kamfuata hakimu nyumbani kwake?
DPP anatishia kupeleka watu gerezani. lakini DPP hasemi kwanini amevunja CPA, kifungu cha 91, Sura ya 20. Shauri lipo mahakamani, hakimu/Jaji ndio wanaweza kumtoa mtuhumiwa gerezani kwa remove order sio DPP (mlalamikaji). Nolle Prosequi inakutaka ueleze mahakama. Hukufanya hivyo.
Sheria haikupi...
Tunajua halazimiki. Lakini hoja za kumtoa mtu DPP huzitoa mahakamani kisha ndio anaachiwa. Lakini kumtoa tuu mahabusu usiku usiku bila kuwasilisha hoja mahakamani ni kinyume na sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.