Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,131
- 1,406
Kumbe kumshitaki mtu unaamua tu leo nimshitaki nani na nani niache au unaamua tu uhairishe mpango huo.
Raha sana hii..!
Raha sana hii..!
Hapo sasa 😂😂Sasa hapo kaeleza sababu za kumtoa?
Kasema pumba tu hapo na kuna mijitu bado inakenua tu
Mbona hii awamu kila anayetoa maelezo inakuwa kama mashindano ya kuonyesha ni nani mpumbavu zaidi? Makosa ni yetu watanzania kukubali watu wenye upeo huu kutuongoza.Kumbe na yeye anabambikia watu makosa/mashitaka. Kwa sababu ya uchaguzi, akaamua kutokubambikia!
Hapo kusema eti watu wa kanda ya ziwa unakosea, naanza kukutilia mashaka uwezo wa kichwa chako mzeeHawa watu wa kanda ya ziwa wana matatizo makubwa sn, atueleze kulikuwa na sababu gani za kumuachia usiku?
Lakini hili la nusrat linaelezea nini kipo nyuma ya sakata linaloendeleaNi jambo jema!
Kutoka mahabusu direct Bungeni hata Nelson Mandela alipumzika kidogo kabla hajatimba Ikulu.
Mungu mbariki Nusrat!
Kumbuka mojawapo ya ahadi alizotoa Lissu akichaguliwa kuwa Rais ni kuwafutia mashtaki mahabusu na wafungwa wote waliobambikiwa kesi za ajabu ajabu. Kwa sasa Mzee na viongozi wenzake wanatekeleza ahadi za Lissu na ilani ya Chadema.Kumbe na yeye anabambikia watu makosa/mashitaka. Kwa sababu ya uchaguzi, akaamua kutokubambikia!
Waandishi wa habari hawajui kuuliza maswali.Nusrat alitolewa mahabusu saa tatu na nusu usiku.Sheria za Tanzania haziruhusu kumtoa mahabusu mtuhumiwa katika muda huo.Huu ni muendelezo wa uvunjaji wa sheria katika serekali mfu ya Magufuli!
Tunajua halazimiki. Lakini hoja za kumtoa mtu DPP huzitoa mahakamani kisha ndio anaachiwa. Lakini kumtoa tuu mahabusu usiku usiku bila kuwasilisha hoja mahakamani ni kinyume na sheriaKutoka kanda hiyo.
Naunga mkono hoja.
Sisi ni wapumbafu, wapumbafu kwelikweli