Recent content by saidabby88

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mke akiri kumsaliti mumewe miaka 7

    alikimbilia nyumbani na kukuta simu aina ya Tecno nyumbani kwake na kuiweka laini yake baadaye dada yake alimtumia picha HAINIINGII AKILINI
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi auawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa shingo na kunyofolewa sehemu nyeti

    mungu ailaze roho ya marehem mahala pema,kapata maumiv makali sana,waliohusika laiti ingekuwa amri yangu wangeuawa kwa kupigwa mawe
  3. S

    JamiiForums Tanzania Binti aweka kiazi ukeni kuzuia mimba

    Unatamani uwe kiazi je utaweza hali ya hewa ya huko???....mwenye njia mwenyewe akiingia kidogo lazima atapike,apumzike af ndo aende tena,we hizo cku 14 itaweza?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wachomwa moto Tabata

    dah safi sana,rafiki yang aliwahi kukwapuliwa cm kwa mtindo huo wa pkpk tukiwa songea
  5. S

    JamiiForums Tanzania AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    danganya toto.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Boti isiyotumia nahodha yavumbuliwa Tanzania

    Wana JF labda tueleweshane kidogo,labda ufaham wngu ni mdogo. Kwa ninavyojua mimi neno kuvumbua ni kudhihirisha jambo ambalo haliwepo hapo kabla, "Kwa mf.watu flani wamevumbua mabaki ya kale ambayo kwa miaka mingi hayakutambulika uwepo wake". Sasa huyo bwana hapo ni kweli kavumbua?maana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la viungo vya binadamu IMTU, Big picture

    Eti serikali imeunda tume ya watu 15 kuchunguza wahusika,hivi kuna haja ya tume hapo?ikiwa dereva aliemwaga wanae,si wamuhoji alitumwa na nani na aliyemtuma aliagizwa na nani, wachukuliwe hatua wahusika, chuo kiendelee mchezo uishe. Mi hiyo tume naona ni mpango wa kula pesa ya mlalahoi,kila...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari walaani sakata la miili ya Bunju

    Binafsi nilikuwa sijui jambo hili kama lipo toka nizaliwe,naanza kujenga fikra kwamba inawezekana watu wanaopotea ovyo huwa wanatumiwa na hicho chuo na kufanywa siri...,
Back
Top Bottom