Recent content by SAID MAURID

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhamisha mkopo

    Nipe mkuu nitashukuru sana yaani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhamisha mkopo

    Mkuu mbona kipindi tunabadili kozi walituambia bodi ya mikopo haiusiki na marekebisho ya mkopo endapo ukibali kozi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhamisha mkopo

    Fomu za mtindo gani bado sijakuelewa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhamisha mkopo

    Jamani msaada hivi ukihama kozi ndani ya chuo hicho hicho kutoka kozi moja kwenda nyingine na mkopo ukawa unapata kule kwenye kozi ya kwanza ambayo umehama ivi kuhamisha ili uje kozi mpya kinausika chuo kupeleka taarifa bodi ya mikopo au mwanafunzi mwenyewe
  5. S

    JamiiForums Tanzania UDSM ni chuo cha jiji la DSM, kuna shida gani wakitembea na vitambulisho?

    mkuu unasema UDSM imebaki jina tu sawa tutajie chuo kikuu bora hapa bongo maana mimi sipo UDSM ila nakiappriciate
  6. S

    JamiiForums Tanzania UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Mmmmmm jamani tusisome kwa kusubiri kuajiriwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

    matokeo Subiri th 21-02-2017
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

    ayo ni mawazo yenu tu UDSM mbele kwa mbele
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi UDSM ina kipi cha kujivunia miaka zaidi ya 50

    Hapo dodoma robo tatu ya wakufunzi wamesoma udsm kwahyo udsm imejaaliwa kusambaza wafanyakaz mashuhur hapa tz
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    waambie wanitumie majna kwa SMS kwenye namba hii 0686441660 niwachekie maana wamebndka mm npo uku ndyo msaada wangu
  11. S

    JamiiForums Tanzania ARTISTS wengi ni watoto wa masikini

    C Kweli masikini husoma shule za kata maana wazazi kushndwa kugawa mahtaji ucka pia shule nyng za kata hakna walimu wa sayans
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    Ahsante mkuu kwa kuniangalizia
  13. S

    JamiiForums Tanzania Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    Msaada S2605.0038.2013 Jina MAURID SAIDI O.
  14. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI INATUTAFUTA CHAROHONI

    jamani hii serikali inatutafuta charohoni yaani kelele zote zile bado hawajasikia wametoa 2nd bach ya boom kwa asilimia wamebandka hii leo udsm mmmmm sasa tumechoka
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    MIMI NAMKUBALI SANA OSTADHI SHABANI B OMARI MTAALAMU WA ENGLISH CHEKECHEA MPAKA CHUO KIKUU ANAPATIKANA CHANG'OMBE MADUKA MATATU
Back
Top Bottom