Msaada wa kuhamisha mkopo

SAID MAURID

Member
Mar 25, 2014
54
25
Jamani msaada hivi ukihama kozi ndani ya chuo hicho hicho kutoka kozi moja kwenda nyingine na mkopo ukawa unapata kule kwenye kozi ya kwanza ambayo umehama ivi kuhamisha ili uje kozi mpya kinausika chuo kupeleka taarifa bodi ya mikopo au mwanafunzi mwenyewe
 
Fomu za mtindo gani bado sijakuelewa
Unahusika ww mwenyew kwakusaidiwa na chuo Kama kuna document inabidi usainiwe mm nna rafiki angu mwaka Jana alihama kutoka computer science hapa udsm na akahamia education alipewa 100%....awal computer science hakuwa na 100%....ila alkua na route nyng sana za kwenda loan board
 
Mkuu mbona kipindi tunabadili kozi walituambia bodi ya mikopo haiusiki na marekebisho ya mkopo endapo ukibali kozi
 
Back
Top Bottom