luganolugy
Member
- Oct 13, 2016
- 37
- 5
Mi naona watoto wa masikini wengi ni artist kwa sababu wanasoma SHULE za kata ambazo hata miundo mbinu mfano maabala ni mibovu hivo wakitoa priority kwa science badoo watoto wa masikini wanakandamizwa na wakikosa MKOPO watarudi kijijini NDOTOOOO zaoo zinafeli ni mtazamo wangu vipi wewe