Recent content by Said maneno

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa hili la tcu leo

    Hii akaunti sikuzote ilikuwa sawa lakini leo inaniambia NO Application done.USHAuRi NICHUKUE HATUA GANi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Heslb:hatimaye bodi yatoa majina mengine

    For more details tembelea website ya bodi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Heslb:hatimaye bodi yatoa tamko kwa waliochaguliwa awamu ya pili na zitakazofuatia

    Mkopo kwa wanachuo wa chaguo la pili na mengineyo kwa mwaka wa masomo na bajeti 2011/12 ''MKOPO HAKUNA'' KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA WEBSITE YA BODI''HESLB''12/10/2011
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Muhimbili chafuta chama cha wanafunzi (students' organization)- muhasso

    Kwa GPA 3 wako sahihi kabisa na inabidi wapewe pongezi kwani wanawaokoa wanaokaribia kupotea na kuyumbisha taifa.Ila uongozi ni muhimu kuwepo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    Kweli Taifa laangamia yani hesabu ya kitoto tena isiyowezekana 2X=4X NA X=UNDEFINED na si 4 wengine mnaji2ngia maswali yenu.nadhani sasa mmejionea kwamba kufaulu mitihani ni umakini na si kukurupuka kama baadhi ya wa2 humu ALWAYS THINK TWICE BEFORE ZA ACTION
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    acha utoto umeambiwa 2X NA SI 2^X
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    acha danganya toto umeambiwa 2X=4X na sio 2^X
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    we ndo umelaniwa na ukalanika kwani undefined inaandikwaje?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    karudie kukariri toka lini ukaapply log upande mmoja?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    2tolee uchekechea wako.we chukua alama ya ukimwi kisha iandike kwa ulalo ndo correct answer.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kudos ndalichako. Mitihani haivuji

    Muda wa kuwapongeza bado ndo kwanzaa siku moja imepita na madogo wako cool hawaongelei kabisa paper.siajabu wamebana mwanzo na mwisho au kati wataachia.
  12. S

    JamiiForums Tanzania i will be more thanksful for this...!

    Tatizo ni wewe,ukipewa wazo na we unaenda kutoa kwa wengine na pia we ni mwanafunzi shemsha akili yako.na mengine yatafuatiaa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada.....wa kujua admission ya udom kwa watu walio omba kupitia mature age entry

    Umekwisha ambiwa inorder 2discover something there must be an invisible force play part in ur mind sasa wewe ukishindwa kupata gpa kubwa kwa kufikiri kwa kina na kuelewa ulichofundishwa ndani ya semister utaweza kugundua hiyo software..maplan ni kupiga gpa ili kile nilichogundua kiweze...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada.....wa kujua admission ya udom kwa watu walio omba kupitia mature age entry

    Ukistaajabu ya musa utayaona ya filaun na mkumbuke ya kwamba a toad cannot run on a day time for nothing na kila problem come with gift so acheni malumbano kila m2 amaind his/her own bussness.wa2 2napanga mikakati ya kupata GPA kubwa nyie mnarushiana madongo kavipi fungeni hizo akaunt zenu.lets...
Back
Top Bottom