Bahati nzuri nimebahatika kukisoma hiki kitabu cha ndugu yangu Mohammed Said the life and times of Abdulwahid, Uamuzi wa Busara na vitabu kadhaa vya brother Said i suggest watu wasome sio tu kumuattack. wengi wanajua tu kumuatack na inaonesha dhahiri hawajasoma kitabu chake..
brother Said...
Miaka michache iliyopita tuliweza kukwepa kuharakishwa kwa shirikisho la Afrika mashariki kwa kisingizio kuwa
hatujajiandaa katika mambo mengi tu likiwepo la mfumo wa umilikiji ardhi, elimu, ajira na hata biashara na masoko.
siku zinakwenda watu tunapiga tu porojo hamna kinachokwenda kila...
Mimi sishangai sana maprofesa kuwa mstari wa mbele kubunya pesa zetu badala ya kuwa msaada kwetu kwa taaluma walionayo. elimu hutawaliwa na kuongoza kwa kiasi kikubwa na Falsafa. uwoga na kuwaabudu wanasiasa ndio falsafa iliyowalea na kuwakuza hatimae kuwapa uprofesa na taaluma wataalamu wetu...
Kuna nchi nyingi sana zimesonga mbele bila bila msaada wa wamagharibi amka sasa tunaweza kusonga mbele wenyewe tukithubutu na mimi nina imani na wakenya,wamejaa uthubutu na kujiamini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.