DSpecial
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 482
- 161
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
Tabia za kizinzi tu za mtu mwenyewe
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
Nani kasema hutakiwi ku-sex na mkeo wakati wa ujauzito? kwanza ndio unatakiwa ufanye ili upanue njia na ni kipindi ambacho mkeo anakuhitaji sana, kwa upande wangu huwa tuna-do hata the latest minutes, yaani kama kesho ndio anaenda hospital basi leo ni lazima.....
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
Huyo mwanaume wako atakuwa ni kicheche by birth. Kwani mimba inazuia nini kumgegeda mkeo? Labda kama hiyo mimba imekufanya uwe mchafu na kisirani kupindukia-hapo hata mimi nachepuka.Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
ku-do haipanui njia mkuu ,sema inakuwa ni sehemu ya mazoezi ya nyonga wakati wa kujifungua...........
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
........mimba kuanzia miezi 7! Inakuwa kama unafanya rituals wala sio recreaional activity kabisaaa!
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
What do you mean?
mmmh! lara 1, haiwez kuwarituals bana, ni kawaida na kama mama haumwi inaruhusiwa. so far huwa ni zoezi zuri sana kwaajili ya kutanua njia na easy delivery. ukimudu sarakasi miezi ya mwisho inamaana hata kwenye kuzaa pumzi itakuwepo na utafyatua bila hata tearing
Ni kweli inaweza kuwa ni upuuzi kwako lakini sio kwa wote.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
'
But still, kumcheat mkeo ni upuuzi,mwanaume anaejitambua hafanyi huo upuuzi!
'Mahawara hawaachani,sosi: Fidel80 !