Recent content by sahini

  1. S

    JamiiForums Tanzania TETESI: CCM, CUF na CHADEMA Kupigwa Leo Mchana - MBUNGE NCCR MAGEUZI

    Mbona thread inatoka kama vile inawatisha watu fulani ambao wao tayari walishawakataa hao watu? Na waende popote.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu unatumika sana, sasa siku zako zinahesabika

    Pole sana,fuatilia mambo kwanza ndio uongee. Kama huna utafiti wa kina...................
  3. S

    JamiiForums Tanzania Zito,Mkumbo na Wenzake kufanya mkutano na waandishi wik ijayo

    Nawasubili ni haki yao kusikilizwa pia.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    Huu ndio ukweli,tukikubali serikali 3,hakuna muungano tena.Nitakuwa wa kwanza kuuvunja. Huko nyuma kabla sijasoma kitabu cha mwalimu,nilikuwa na maswali mengi kwa nini tuna serikali mbili ambazo tunadai kuna muungano?Tumeungana nini sasa? Si kwamba hatuwatendei haki hawa ambao tumewapora...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

    No research no right to talk.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma juu ya maamuzi ya baraza la madaktari kuhusu madaktari waliogoma

    jaribu kufuatilia kwa karibu waliokiri ni akina na nani?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma juu ya maamuzi ya baraza la madaktari kuhusu madaktari waliogoma

    Pole sana gfsonwin,hivi ndio tunavoendesha mambo yetu. Hatuna kipao mbele.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma juu ya maamuzi ya baraza la madaktari kuhusu madaktari waliogoma

    UTANGULIZI Kutokana na mgomo wa madaktari uliotokea kati ya tarehe 23 na 29 mwezi juni 2012.Wizara iliwasilisha malalamiko kwenye Baraza la madaktari Tanganyika ili lifanye uchunguzi kuhusu madaktari hao .Idadi ya madaktari wote waliogoma walikuwa 394, kati yao madaktari 376 walikuwa ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

    jaji Mihayo anajitambua.
  10. S

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Mgomo wa madaktari ni batili

    naomba msaada kabla sijachangia.Bakwata ni kitu gani?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Nasikitishwa na kuwa na waatu wasioelewa na kuongea.Moja bila utafiti huruhusiwi kuongea ni kauli mbiu iliyopo ssijaiweka mimi.Sasa kaka nenda pale muhimbili agiza I/V Metronidazole jibu ni o/s.Nimetolea mfano mdogo tu wa hiyo dawa ndogo sana ila yenye matumizi makubwa surgical wards.Unataka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania TBC WANAPO POTOSHA UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI Hivi Huu ni Uhuru wa vyombo vya habari?

    hawa jamaa bwana sasa huwa najiuliza wanamdanganya nani.Mara ya kwanza ilikuwa ni haya haya wakaumbuka.Na huyu mkuu wa mkoa wa DSM sijui ni nani kama eligaesha.Last tym alienda kwa sherehe za wanawake kuongelea ati hakuna mgomo na ameweka polisi kuwalinda madaktari wanaofanya kazi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wote tunaopinga mgomo wa madaktari

    Pole sana kusema kuwa hawatakiwi kugoma unakosea,hawa watu wanahitaji basics katika maisha yao.Ningekushauri ukasome historia ya utabibu ndo ungeweza kuwaelewa wanaishije leo. Lakini kwenye msafara wa mamba hata kenge wanakuwemo sishangai.
Back
Top Bottom