TBC WANAPO POTOSHA UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI Hivi Huu ni Uhuru wa vyombo vya habari?

simon james

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
283
140
Wakata Taarifa ya Chanel ten leo sa 1 na Ile ya ITV Sa 2 usiku zikiripoti uwepo wa mgomo wa madaktari, katika hospitali ya Mhimbili, Bugando etc. TBC Wametoa pongezi kwa madaktari kuitikia tamko la serikali kuwataka kuachana na mgomo na kutii kwa kuendelea na kazi leo. Hivi kweli upotoshaji huu si kuvicha kidonda kibichi hivi kikioza nani wa kulaumiwa. I hate TBC 1. Taarifa za uhakika ni kuwa mgomo umeanza rasmi leo
 
Nawasikitikia wananch watakao peleka wagonjwa wao kesho mhimbili kwa kufuata taarifa ya uongo waliyotoa Tbc1. Ipo cku Tbc 1 mtashtakiwa
 
Nimeangalia star tv Dk Ulimboka amesema mgomo uko palepale kwasababu hakuna sehemu yoyote madaktari walipo sain makubaliano na serikali
 
Kawaida hii TV ni ya propaganda tupu, waache waendelee kupotosha wakati wagonjwa wanapata shida!!!!!!!
 
Star tv pia naona wanasema eti mgomo umesitishwa, wakati najua mgomo upo hapa moi total tools down
 
Waachen wafu wazike wafu wao. (Tbc = ccm = wafu)

Tbc=ccm=Dhaifu=waloishiwa maarifa.
 
Kwamba mgomo haupo hizo ni propaganda za liserikali la ccm. MNH leo madaktari wote isipokuwa wa emergency tools down.elective operation zote hazijafanyika.
 
Hivi wanamdanganya Nani. Ama kweli na tamka kuwa Mnyika alikuwa sahihi 100% kusema J.K NI DHAIFU
 
last two episodes ilikuwa hivi hivi, lakini mwishoni Eligaeshi alikubali..
1.serikali irudi nyuma na kusikiliza maombi ya madaktari, kama ni serikali makini ikikubali kusifiwa pia ikubali kukosolewa..kwani wanadhani wakiendelea kupotosha habari itawasaidia nini?! na at the end of the day watanzania na Ujuha wetu tunakufa..
 
last two episodes ilikuwa hivi hivi, lakini mwishoni Eligaeshi alikubali..
1.serikali irudi nyuma na kusikiliza maombi ya madaktari, kama ni serikali makini ikikubali kusifiwa pia ikubali kukosolewa..kwani wanadhani wakiendelea kupotosha habari itawasaidia nini?! na at the end of the day watanzania na Ujuha wetu tunakufa..

mkuu huyu jamaa hataki tena kujitokeza hadharani!!
 
hahaha..waache, itadhihirika zaidi OPD j'3..hapa hakuna kuri nyuma..kwani kurudi vituoni na kutokuwepo mambo ni yale yale, watu wanakufa....Solidarity forever.
 
hawa jamaa bwana sasa huwa najiuliza wanamdanganya nani.Mara ya kwanza ilikuwa ni haya haya wakaumbuka.Na huyu mkuu wa mkoa wa DSM sijui ni nani kama eligaesha.Last tym alienda kwa sherehe za wanawake kuongelea ati hakuna mgomo na ameweka polisi kuwalinda madaktari wanaofanya kazi wasibigidhiwe,kesho yake akaenda temeke na kutaka kuongea na madaktari wakamwambia wewe ni nani alipojibu akajibiwa kuuumbe sisi twamtaka boss wako mkuu. Eligaesha naona kajifunza this tym.
 
Mimi nashauri tuwe makini wengi wetu tunaegemea katika ushabiki wa kitu kizuri lazima kikosowe serikali lakini siku zote katika chombo cha habari angalieni source,hapo tbc hawezi kutangaza mgomo hakuna lazima kuwe na chanzo cha taarifa yao jamani
 
Back
Top Bottom